Movies

The Foreigner Iko Mwishoni Kumrudisha Jackie Chan Kideoni


Ni Ukweli Usiopingika Kuwa Huwezi Kutaja Martial Art Actor Wakali Kwa Dunia Hii Halafu Ukaliacha Jina La Jackie Chan.

Umaarufu Wake Katika Uigizaji Umekuwa Ukiongeza Kila Mwaka Na Filamu Zake Zenye Kila Aina Ya Burudani Ndiyo Zimekuwa Nguzo Za Yeye Kuendelea Kusimama. Iwe Ni Kimarekani Sana au Hata KiAsia Sana Bado Jackie Chan Ameendelea Kuwa Bora Kwa Martial Arts Film Huku Akiziongezea Vituko Mbalimbali Ambavyo Vinaongeza Burudani Ya Kukufanya Uendelee Kuzitafuta Filamu Zake.

Mwaka Huu Anarudi Tena Katika Mzigo Unaitwa The Foreigner. Katika The Foreigner Wanasema Utafanya Nini Hasa Pale Mtu Wa Pekee Unayempenda Kuliko Chochote Kile Anauawa Katika Tukio La Kigaidi? Yes Never Push A Good Man Too Far Ndiyo Msingi Wa Filamu Hii.

October 13, 2017 Mzigo Utaruka Katika Majumba Ya Kuonesha Sinema. Mzigo Umeongozwa Na Martin Campbell

Unaweza Kuicheki Trailer Yake Hapa

About TNZ: Entertainment News

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.