Je, Ni Ukweli, Wivu au Ni Beef? Ndiyo Vinaweza Kutafsiri Kauli Ya Mwanadada Kelly Rowland Aliyotoa Dhidi Ya Lady Gaga.
Kelly Aliyazungumza Hayo Baada Ya Kuambiwa Atoe Maoni Yake Juu Ya Lady Gaga Kutumbuiza Kwenye Super Bowl Ya Mwaka Huu.
Kelly Alipoulizwa Kama Gaga Anaweza Kuwafunika Alisikika Akisema No, Gaga Hawezi Kufunika Show Ya Destiny's Child Kwenye Super Bowl Ya Mwaka 2013.
Wewe Unasemaje? Je Anaweza Gaga Anaweza Kuwa Destiny;s Child? Tucheki Na Maoni Yako Hapa Chini.
Hukuiona Show Ya Destiny's Child? Basi Tumekuwekea Hapa
Watch Lady Gaga Latest Hot Videos, images, Shows, Hots Videos and more
ReplyDelete