Series

The 100: Octavia Kuvaa Roho Ya Lincolin Na Clarke Kumrithi Lexa!


Februari 1, 2017 Ndiyo Siku Inayosubiriwa Na Wapenzi Wa Series Duniani. Toka Ilivyoanza Kuruka Siku Ya Kwanza March 19, 2014 Imekuwa Ikivutia Siku Hadi Siku.

Baada Ya Kumalizika Kwa Season 3 Mwezi May 2016, Tumepumzika Vya Kutosha Sasa Macho Kodo Kwenye Screen Zetu. Wote Tunaisubiri Kwa Hamu Kubwa Huku Tukiwa Na Maswali Ya Kutosha Tunayosubiri Majibu Yake.

Hapa Nazungumzia Series Kali Kutoka The CW Network, Iliyopitia Kwa Producer Jason Rothenberg Ambaye Ameitengeneza Kutoka Katika Kitabu Chenye Jina La The 100 Mwandishi Akiwa Ni Kass Morgan.

Kikubwa Tunachotaka Kujua Ni Namna Octavia Atakavyokuwa Beast Hasa Baada Ya Kumpoteza Kipenzi Chake Lincolin, Vipi Kuhusu Clarke?

Je, Ni Bomu La Nyuklia Ndiyo Liloleta Moto Na Ukawateketeza Wote? Au Moto Ulisababishwa Na Nini? Wao Wanakwambia From The Ashes, We Will Rise! Then Who Will Rise And Who Will Fall? Majibu Ni Februari 1, 2017

Hebu Cheki Trailer Kidogo Hapa Nimekuwekea

About TNZ: Entertainment News

1 comments:

Powered by Blogger.