Fashion

People's Choice Awards 2017 : Waliopendezesha Red Carpet

Jennifer Lopez Katika Pozi
Tunapozungumzia Mkusanyiko Wa Celebrity Wa Aina Yoyote Ile Basi Redcarpet Ndiyo Huwa Habari Ya Mjini.


Tumekuwekea Hapa Mtokelezeo Wa Mastar Mbalimbali Katika Redcarpet. Hebu Cheki Hapa Kisa Utwambie Nani Alinoga Kushinda Wengine


Star Wa Dancing With Star Cheryl Burke Akatupia Kivyake 

Camilla Luddington Wa Grey Anatomy

Chandra Wilson (Dr Miranda) Wa Grey Anatomy

Pryanka Chopra Star Wa Quantico

Victoria Justice Katika Gold n Silver Cocktail Dress

Jamie Chung Wa Gotham Naye Alikuwepo

Ruby Rose Anatuonyesha Kuwa Orange Really Is New Black

It is Not Really Full House Without Candace Cameron Bure

Cherly Hines Naye Akatuonyesha Mtupio Wake

Tom Hanks Ndani Ya Suit Matata

Kristen Bell

Ashley Greene The Twilight Star

Azie Tesfa - Jane The Virgin

Sarah Drew

Are Fifth Harmony The Perfect Match?

Caterina Scorsone

Blake Lively

Cameon Dallas






About TNZ: Entertainment News

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.