March 31, 1995 Ndiyo Ilikuwa Siku Yake Ya Mwisho Kuvuta Hewa Ya Dunia Hii, Kifo Chake Kilishitua Watu Wengi Na Dunia Ikizizima Kwa Simanzi.
Umahiri Wake Wa Kuimba Ndiyo Ulimpa Heshima Ya Kipekee Kabisa Katika Ulimwengu Wa Burudani, Uzuri Wake Ukamjengea Heshima Nyingine Katika Ulimwengu Wa Fashion Kwani Mbali Na Kuwa Muimbaji Mahiri Lakini Alikuwa Mwanamitindo Mahiri.
Vile Vile Uwezo Wake Wa Kuzungumza Ulimuomgezea Daraja La Pekee Katika Fani Ya Uigizaji Na Fikra Zake Sahihi Zikampa Nguvu Na Uwezo Wa Kutuandikia Nyimbo Zilizotamba Sana Kwa Vijana Wa Zamani.
April 16, 1971, Akazaliwa Malkia Huyu, Kwa Vipawa Vyake Akaiteka Dunia, Maisha Yake Yalikatishwa Ghafla Na Mtu Mmoja Tu. Nilishawahi Kueleza Histori Ya Selena Katika Instagram Page. Unaweza Kuicheki HAPA na HAPA na Utaikuta Pia HAPA
Ili Kutunza Hisotria Yake Kwa Vizazi Vingi Vijavyo, Maisha Ya Malkia Selena Yakawekwa Kwenye Movie Na Jeniffer Lopez Akapewa Chance Ya Kuigiza Movie Hiyo. March 21, 1997 Movie Hiyo Ikaachiwa Ikiwa na Bajeti Ya $20 Millions Na Box Office Mauzo Yakawa $35 Millions.
Mwandishi Wa Kitabu Cha El Secreto de Selena Mama MarÃa Celeste Arrarás Ameweka Wazi Kuwa Anataka Kuyaweka Wazi Maisha Ya Selena Katika Mfumo Wa Series.

Arraras Anasema Kitabu Chake Kinaweka Wazi Juu Ya Maisha Ya Selena, Kinaeleza Wazi Juu Ya Utata Wa Kifo Chake, Kitabu Chake Kinaeleza Kitu Tofauti Na Taarfia Zilizotolewa Mara Baada Ya Kifo Cha Selena. Anaendelea Kusema Utata Wote Umewekwa Wazi Kwenye Kitabu Hicho, Pia Arraras Anasisitiza Kuwa Aliandika Kitabu Hicho Baada Ya Kufanya Uchunguzi Juu Ya Kifo Cha Selena na Yote Aliyoyagundua Ameyaweka Wazi Katika Kitabu Hicho Na Ni Muda Muafaka Sasa Wa Kuyaweka Maisha Hayo Katika Video.
Arraras Anamalizia Kwa Kusema "Selena Alikuwa Amezunguukwa Na Watu Wanaompenda Na Wengine Wengi Wasiompenda, Lakini Baada Ya Kugundua Kuwa Hayupo Na Watu Sahihi, Selena Alijiandaa Kufanya Mabadaliko Makubwa Ambayo Yangeushangaza Ulimwengu"
Disney Media Distribution Latin America, BTF Media, Moconoco y Latin WE Hawa Ndiyo Wamepewa Jukumu La Kuandaa Series Hiyo, Wakati Anatambulisha Kuja Kwa Series Hiyo Mwandishi Arrars Alisema :Maisha Ya Selena Yamezunguukwa Na Hadithi Ya Kipekee, Udanganyifu, Mapenzi, Usaliti Na Mengine Mengi, Ni Story Ya Aina Yake Inayosisimua Lakini Ni Stori Inayoelezea Maisha Yake Na Ni Stori Inayotufanya Tuendelee Kumkumbuka Daima Mpendwa Wetu Selena. Sina Shaka Kama ilivyokuwa Kitabu Kuweka Rekodi Ya Mauzo Basi Hata Hii Series Itavunja Rekodi Ya Kuangaliwa Duniani. Alimaliza Arraras.
Watch Maisha Ya Selena Latest Hot Videos
ReplyDelete