Katika Kipindi Cha The Doctors, Lamar Hakuona Shida Kutamka Kuwa Bado Anamhitaji Khloe Kardashian.
Lamar Alianza Kwa Kumshukuru Sana Khole Kwa Kuwa Naye Bega Kwa Bega Wakati Lamar Alipokuwa Anapigania Maisha Yake Yaliyoharibiwa Na Madawa Ya Kulevya.
Lamar Aliweka Wazi Kuwa Khloe Ni Mtu Muhimu Kwake, Na Anamhitaji Arudi. Lamar Alisikika Akisema "Khloe Ni Mtu Muhimu Kwangu, Amekuwa Na Mimi Katika Kipindi Hiki Kigumu Kwangu, Hivyo Nina Deni Nataka Kulilipa Kwake, Namhitaji Mke Wangu Arudi"
Lamar Hakuacha Kuwaomba Msamaha Wote Aliwaangusha Hasa Kutokana na Yeye Kutumia Dawa Za Kulevya. Na Msamaha Huo Aliulekeza Kwa Kardashian Family Na Wote Wanaompenda.
Lamar Alisema "Naomba Msamaha Wa Muda na Nguvu Nilizowapotezea, Nilikuwa Mgonjwa Na Sikuwa Najua Kabisa Mimi Ni Nani, Sikuweza Kujiangalia Mwenyewe Na Wala Sikuweza Kumsaidia Mtu Yeyote"
Swali Ni Je, Khloe Atameza Matapishi Yake Na Kuchana Na Karatasi Za Talaka Pia Kumpiga Chini Tristan Thompson Na Kurudi Kwa Lamar?
Jibu Ni Rahisi Sana, Kwa Kardashian Hakuna Kisichowezekana, Tusubiri Muda Utatupa Jibu La Kweli.

Watch Khloe Ni Wangu Latest Interviews Videos
ReplyDelete