Kama Ni Swagga Anzijua Hasa, Kama Kareoke Anauwezo Wa Kuimrisha Mic Na Ikamsikiliza. Hata Push Up Anaweza Kupiga, Mwaka 1964, Tarehe 17 Janauri Alizaliwa Mwanamke Huyu
Ni Mwandishi, Mwanasheria Na Pia Mke W Raisi Wa 44 Wa Marekani, Raisi Barack Obama. Amekuwa Ni Nguzo Ya Wanawake Wazalendo Na Wachapakazi, Amekuwa Wakili Mtetezi Wa Wa Wanyonge. Huyu Ndiye Michelle Obama, First Lady Wa Kwanza Wa Raisi Wa Marekani Ambaye Ni Mwafrika
Lakini Pamoja Na Kuwa Na Kofia Kubwa Ya U-First Lady Bado Michelle Hakuacha Kujichanganya Katik Jamii
Michelle Ameionyesha Dunia Kuwa Yeye Siyo Tu First Lady, Bali Amekuwa First Lady Anayejua Kujichanganya Hasa.
Mom Dancing With Jimmy Fallon: Moja Ya Matukio Ya Kukumbukwa Ni Aliposhiriki Kwenye Tukio Hili La Evolution Of Mom Dancing. Kama Ni Swagga Anazijua Hasa

**********************
Carpool Karaoke With James Corden: Unahitaji Kuaminishwa Kuwa Hata Karaoke Haiwezi Kumpita Michelle Hivi Hivi. Na Akipewa Nafasi Tu Lazima Aitendee Haki? Basi Hebu Mcheki Hapa Akiimba Get Your Freak On Ya Miss Eliot, Tena Kwa Mizuka Na Swagg Za Kutosha.
Hapa Vipi?
Sesame Street: Michelle Ameshatokea Mara Nyingi Kwenye Show Ya Watoto Na Muda Wote Alisistiza Umuhimu Wa Kula Mboga Za Majani, Matunda na Kunywa Chai. Hebu Mcheki Hapa Chini
Michelle Obama's push up challenge! Michelle Alionesha Kuwa Ngangari Mara Baada Ya Kupiga Push Up Zaidi Ya 15 Katika Kipindi Cha Ellen Degeneres.
Ni Hayo Tu Kwa Leo, Vipi Na Tukio Lolote Alilowahi Kufanya Michelle Hebu Tuachie Comment Hapo Chini.
0 comments:
Post a Comment