Series

24 Legacy: Bila Kiefer Sutherland, Kuanza Kuruka Feb 2017

Umejaribu Kufikiria Kuwa Inawezekana Series Ya 24 Ikawa Kali Bila Jack Bauer? Pamoja Na Kuwa 24 Series Imemtengeneza Jack Bauer Na Uhusika Wa Kiefer Suthrland Ukamnogesha Vilivyo Bauer Lakini Ukweli Unabaki Kuwa Bauer Ameondoka Na 24 Yake.

Fox Wameona Kunaulazima Wa 24 Kurudi Lakini Itarudi Bila Jack Bauer, Wenyewe Wanakwambia New Day, New Hero.. Yes Mzigo Unakuja Kwajina la 24 Legacy Na Safari Hii Utamuhusisha Mwanajeshi Anayerudi Home Baada Ya Kutumikia Taifa Lake, Lakini Anakuta Mishe Zake Hazijakaa Sawa Na Zinaweza Kumgharimu.

Hakuna Namna Zaidi Ya Kuanza Kupambana Kuhakikisha Usalama Wake. Mzigo Unaanza Kuruka Februari 5 Na Umewekewa Order Ya Epsode 12 Mpaka Sasa.

Swali Linalobaki Kwetu Ni Kuwa, Je, Ni Kweli Kuwa Jack Bauer Hatoonekana Tena Katika Series Ya 24? Au Kuna Suprise Tuitegemee? Lolote Linawezekana ACha Tuendelee Kuhesabu Siku

Angalia Trailer Hapa Ya 24 Legacy



About TNZ: Entertainment News

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.