Series

KOREAN DRAMA: DOCTOR STRANGER


Baada Ya Dr Park Hoon Kufanikiwa Kurudi South Korea Huku Akiamini Kamuacha Kipenzi Chake Jae Hee North Korea Kwani Alipoteza Mawasiliano Yake.

Park Hoon Anaajiliwa Katika Hospitali Ya Myungwoo University, Ghafla Anakutana Na Daktari Mwingine Wa Kike Hapo Hosptal Anayefanana Kila Kitu Na Kipenzi Chake Jae Hee Aliyepotezana Naye Huko North Korea.

Kibaya Zaidi Daktari Huyu Wa Kike Anaonesha Kutomjua Kabisa Dr Park Hoo. Utamu Wa Love Story Za Kikorea Unaanzia Hapo



Kudownload Series Hii Ya Kikorea Bonyeza HAPA

About TNZ: Entertainment News

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.