Movies

Movie Ya Cannibal Holocaust Ilivyomtupa Jela Director Deodato

Ruggero Deodato
  Tukizungumzia uhalisia wa movie basi Director Ruggero Deodato wa movie ya Cannibal Holocaust alitisha

Siku 10 baada ya kutoka movie hiyo mjini Milan iliweza kusimamishwa na mahakama ya nchini Italia na Director Ruggero alishitakiwa kwa scene za kutisha na kikatili.

Moja Ya Ujumbe Unaoonekana Katika Filamu Hiyo

Baadae alishitakiwa kwa mauaji ya actors kadhaa na kuhukumiwa kifungo cha maisha.


Actors wa movie hyo walisaini mkataba wa kutokomea kwa mda wa mwaka mmoja baada ya kumaliza shooting ya movie hyo, ili kuaminisha watu walichokiona kwny movie kua wamefariki kweli.

Moja Ya Scene Zilizowashtua Watu Ni Hii Iliyomhusisha Mschana Huyu

Baadae Director Roggero aliwasiliana na mtu ili awasiliane na actors wa3 walopotea.


Wale actors walipotokea mahakamani wakiwa wazima na wenye afya hvo kesi hyo ya mauaji ilisitishwa na pia ni baada ya kuelezea hzo scene za mauaji alizitengenezaje.

Kingine Cha Kustajaabisha Kuhusu Filamu Hii Ni Kuwa Wanyama Wote Waliouliwa Humu Ni Kweli Waliuliwa Na Hiki Ni Moja Ya Vitu Ambavyo Director Deodato Anajutia. Alipoulizwa Kitu Gani Anachojutia Alisema Anajutia Vifo Vya Wanyama Wale, Anajutia Kwanini Alifanya Kweli Na Wakati Mwingine Anaona Ni Bora Asingefanya Movie Hiyo.

Ndani Ya Siku 10 Tu Filamu Hii Iligonga Mauzo Ya $1.9 Million Huku Ikiwa Na Bajeti Ya $100,000 Tu, Na Filamu Hii Ilitoka Rasmi 7/2/1980 Ikiwa Na Dakika 96

Tazama Kipande Kifupi Tu Filamu Hiyo

About TNZ: Entertainment News

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.