Music

Album Review: Hard II Love by Usher | Download Hapa


Album Ya Mtu Mzima Usher Iko Hewani, Full Review Iko Hapa Na Pia Unaweza Kuidownload Album Nzima Hapa.



Download Album Nzima Hapa


Track List
1
Need You
6
Downtime
11
Rivals
2
Missing U
7
Crash
12
Tell Me
3
No Limit
8
Make You A Believer
13
Hard II Love
4
Bump
9
Mind Of A Man
14
Stronger
5
Let Me
10
FWM
15
Champions


1...NEED U (Conversation With Priyanka Chopra)

Huu Ndo Wimbo Wa Kwanza Kabisaa Unaofungua Album Nzima Ya Hard II Love.. 

Uko Na Dakika 4:08 Tu.. Una Mahadhi Ya Rnb Yenyewe Ile Dizaini Kama Za Kina Brandy, Celine Dion N.k

"Everybody Wants Somebody That's Caught Confidence, You Should Make Me Feel Safe, Make Me Laugh, Everything About Him Should Feel Sexy, His Walk, His Talk, He's Got To Be Effortless, Not Trying To Hard, What You Want On Someone?? "

Beat Raha Iko Simple Unaweza Kuhisi Ni Acapella But Nah Sio Acapella, Was The Best Idea Ya Beat. Ni Wimbo Ambao Unakufungua Vizuri Na Kukuweka Vizuri Kujua Ni Nini Kimo Kwenye Album Nzima.

Ushawahi Kua Na Mpenzi Wako Afu Ukawa Unamzingua Zingua Kinoma Noma... Anavyokwambia We Humuelewi Kabisaa Unaona Naah Huyu Anazingua (Hii Especially Kwa Boys).. Inafika Point Girl Anachoka Na Anachukua Zake.. Nawe Inafika Point Unaanza Kumkumbuka Na Ndipo Unaanza Kugundua Mengi Aliyokua Akikwambia Kipindi Hicho Ila Now Unayaona Yalikua Na Ukweli Noma Noma... Na Unamwitaji Tena Tena Kwa Hamu Kubwaa.

Kwanza Wimbo Unaanza Na Maneno Ya Usher Raymond Akiongea "I Fucked Up.. I'm Man Enough To Admit It... I Don't Know If That Makes Difference... And I Know That If You Just Give Me A chance To Explain.. I Need You"..

Pia Usher Analalama Na Kumsisitiza Ex Wake Kwamba Please Don't Give Em My Love.. You Ain't Even Like That "(Sa Afanyaje Wakati Ulizingua 😂😂

What I Like Most Ni Ile Sauti Ya Mtoto Mzuri Priyanka Pale Mwisho (Priyanka Na Usher Wangekuwa Wanadate Ingekuwa Bonge La Perfect Combo)

Msikie Maneno Ya Priyanka 
"Everybody Wants Somebody That's Caught Confidence, You Should Make Me Feel Safe, Make Me Laugh, Everything About Him Should Feel Sexy, His Walk, His Talk, He's Got To Be Effortless, Not Trying To Hard, What You Want On Someone?? "

2...Missin U
Wimbo Namba Mbili Ni Missin U Na Ni Mmojawapo Ya My (Close Friend) Anaoupenda. Nilimpa Hii Album Akaniambia Missing You Ndio Wimbo WA Kwanza Kuteka Sikio Lake.

Idea Ya Vigoma Flani, Kuna KamA Kupigwa Kwa Bati,  Bado Ukirudi Katika Piano Sijui Gitaa Damn Wimbo Flani Unaokuhitaji Kunesa Flani Kama Una Hela Kiboss Flani Hahutaji Kuminyana😂😂😂😂.

Hapa Ndo Unaanza Kuona Utamu Wa Album Wenyewe Sasa... Kwanza Usher Anaanza Na Maneno Haya Ni Kama Alikuwa Akiongea Na Mtoto Kando Hivi Anasema " Somebody That's Got Confidence You Know It's Her Altitude... The Way She Walks, Nice Legs, She Gotta Be Beutiful Nice Thin  
Fat Ass ooh(😂😂😂😂 Usher Nae Mbovu WA Chura,) . And Those Soft Little Lips"  And Then Beat La Kibabe Hapo Linaanza Na Maneno Little Lips Yakiwa Yanajirudia Vyema Kwenye Beat....

All In All The Song Is All About Kummiss Baby Wako Ile Una Miss Mambo Yake Na Mambo Mengine Ambayo Mkiwa Nae Huwa Mnafanyaga Cheki Huu Mstari Usher Anakwambia "I Wonder If Your Sex Is As Good As I Assume It's Goin..." " Anakumbuka Ka Mchezo 😀😀😀🙌🙌.

3..No Limit Ft Young Thug.
Kama Wewe Ni Mpenzi Kweli Wa Usher Raymond Basi Huu Wimbo Sio Mgeni Kwako (Hata Kama Hujaipata Album Bado) ... Mana Uliachiwa Kama Ndo Leading Single Toka Kwa Album Ilikuwa July 9 Mwaka Huu..

Wimbo Umeandikwa Na Karibu Watu 9 Huku Pia Ukitayarishwa Na Watu Watano Ndani.
The Song Is All About Love.. Kumproud Your Love Huku Usher Akimwambia Baby Wake Kwamba Hakuna Limit Kabisa Akiwa Na Yeye Mnigga..

Young Thug Katisha Nae Pia (Though Hizi Style Wanaigana 😂😂).... Nimependa Mstari Wake Huu Anakwambia "You Finer Than Wine, Baby Girl I Ain't Lying Ain't No Limit Babe We Do It Larger, Ain't No Limit Babe when You A Starter"

Beat Ni Crank Flani Hivi Nzuri Ambayo Haitakufanya Utingishe Kichwa Tu.. Bali Pia Utaenjoy Melody Za Tofauti Alizopita Nazo Humu Usher Zinakufanya Utulie Usikilize Pia Maneno Ya Ndani

4...BUMP
Aisee Kama Hujapata Hii Album Afu Unajiita Nawe Ni Real Fan Wa Usher Raymond You Have To Check Yourself Vizuri (Hata Kwa Mpenzi Wa Rnb Music)

Kila Unapozidi Kushuka Ndivyo Usher Anavyozidi Kukuonyesha Kuwait Ye Ni Mkali Tu.  BUMP Ni Wimbo Wa Nne Kwenye Album Ukikaa Kuusikiliza Utapoteza Dakika Zako 4:09 Tu.

Ni Wimbo Unaoanza Na Piano Flani Iliyopigwa Kwa Ustadi Mzuri Sana Huku Ukiwafwatia Na Sound Ya Maneno Ya Kujirudia Yakitamkwa At at At at What..(Ambayo Yanaweza Kukufanya Uhisi Kama Huu Wimbo Unaujua Ila Nah Huu Mpya Bhana) . Ila Ukiyasikia Yanavyotamkwa Ni Yichi Yichi Wati 😂😂😂 Hata Kiitikio Chenyewe Kinavyotamkwa Unaskia Anasema Tu Paah Paah Paah Paah... Hiyo Ndo Bump Bump Bump 😂😂🙌🙌 Kwenye Language Tunaita Speech Simplification Hiyo. 😂 😂 😂

After That Inafwata Sauti Nzuri Na Melody Safi... Usher Analalamika Kwa Baby Wake Kwamba Haelewi Mambo Yanavyokwenda Na Haelewi Yameanzaje Na Kachoka So Yuko Tayari Kusepa Check Mistari Hii Usher Anamwambia Baby Ake  "I Don't Know Where We Going,, And I Don't Know What Call Us,, And I Don't Know How It Started But I'm Ready To Go(Si Avumilie Tu)

Na Anakazia Swala Kabisa Kuonesha Kwamba Yuko Serious Na Uamuzi Wake Wa Kuondoka Anamwambia Baby Wake" I Hope That You Hear What I'm Sayin,,, I'm Hopin And Prayin I'll Say It Again"

Huu Wimbo Unaweza Kuhisi Kuna Mtu Ameshirikishwa (Japo Hawajaandika But Naamini Kuna Sauti Ya MTU Mwingine Aliyetia Vionjo)

Kubwa Nilichokifeel Humu Ni Flow Za Usher (Ni Style Ambayo Wasanii Wengi Wanatumia So KamA Kawaonyesha Hiyo Sio Ishu He Even Can Do It.

5...LET ME.
Anaanza Kwa Kusema Inatokea Only Once Kupenda Ile Kweli Kweli (Ku Fall In Love)
Baada Ya Kulalamika Vya Kutosha Vya Kutosha Usher Raymond Anaamua Kujisifia Mbele Ya Baby Wake Kwamba Yeye Ndo Pekee Anaweza Kumfanyia Mambo Mengi Sana Na Wengine Hawawezi Kabisaa.

Maneno Kama Haya Unayaskia Kwenye Kiitikio Usher Raymond Akimwambia Baby Kwamba "Let Me Love You Baby" 

Na Anaendelea Kumwaga Sera Zake Usher Kwamba Na Hapo Bado Tu Akipata Mkwanja Mzuri Atamuweka Kwenye Ile Ile Angle Anayoitaka Yeye Ila Tu Hebu Ampe Nafasi Ya Kumpenda Si Alishaharibu Nyuma Huko.. Anasema "If I Got I Got Money You Go Be There"

Trust Me Humu Usher kaichezea Sauti Vizuri Sana... Kaonesha Humu Ndani Utofauti Wa Msanii Na Mwanamuziki... Kuna Rap Flani Hivi Kazipiga Mwanzo Aisee Ni Noma Noma..

Wimbo Huu Kidogo Ndo Mfupi Uko na Dakika 3:09 Tu... What I Love More In This Album Ni Choice Ya Beats Aisee Usher Kachagua Yale Yale... Na Kapita Mule Mule Pia Mfano Mzuri Ni Huu Wimbo.

Japo Kidogo Huu Wimbo Katika Mashairi Kama Umenilet Down Flan,  Nakupenda Nipe Nafasi Nikupende Nikipata Mkwanja Utapata Kile (Usanifu Wa Message Kama Uko So Common)


6..DOWNTIME.
Kama Nilivyosema Humu Usher For Real Kachagua Beats For Real Asikwambie Mtu...

Humu Kwanza Wimbo Unaanza Kwa Piano Flani Tata Na Baadae Zinafwata Drums Ambapo Usher Ndo Anaanza Kuimba Sasa Kwa Sauti Flani Ya Wastani Hivii... Anaanza Kwa Kusema Hivi "Everything You Do Is Everything I Know No Need To Pretend, We Both Know What You Want,,,, Anaendelea Tena Kwa Mbele Kidogo..... I Know You Don't Need It Ain't That Kind Of Thing It's More Of A Fling That's Why When You Leave"

Inshort Wimbo Huu Unahusu Kujutia Kwa Muda Wote Uliopoteza Kwa Kua Na Mtu Ambaye Baadae Unakuja Kugundua Kua Haukua Moyoni Mwake So Humu Usher Analalamika Kwa Mbali Ka Song Kanaleta Feeling Flani Ila Ukielewa Anachokiongea Ndo Huzuni Unapata Zaidi.... Angalia Hapa Usher Na Ndo Part Niliyoipenda Zaidi Kaiimba Kidizaini Flani Ya Kitofauti Sana Anasema

" Left The Country Just To Spend The Weekend Here To Fuck Me What Is Not The Only Thing That's Comin' All Your Friends Are Callin' You Like "OMG Your Such And Such Is Lucky"It's Touchin' My Soul"

Huu Wimbo Ni Ile Uko Na Muda Ambao Hauna Kazi Au Mtu Wako Special Hayupo "Then Kuna Hamu Au Shetani Kapita Ni Kubanjuana Halafu KilA Mtu Ashike Hamsini Zake 😂😂😂😂😂 Kuna Msemo Kuwa Kuna Sex Nyingine Sio Lazima Iwe Ya Relationship, Ni Kupata Good time Halafu Inaishia Hapo Tu,  Ukifanyiwa Hii Halafu We Ujifanye Umefall Utaumia Tu"

Mwisho Nitamalizia NA Best Beat Ndani Ya Hii Album But Just Know That Hii Ni Mojawapo

07... CRASH
Crash Ni Single Ambayo Iko Released Kutoka Album Hii,  Ikiwa Imeachiwa June 10, 2016 Kwa Mtindo WA Digital Download.

Uko Na Dakika 3:31 Ukiwa Umeachiwa Chini Ya Label Ya RCA ,Wimbo Huu Umeandikwa Na Usher Raymond IV Mwenyewe Alishirikiana Na Lee Stashenko, Carlos St. John  Na Corey "Latif" Williams Huku Producer(s) WaKiwa Ni F a l l e n Na Carlos St. John

Back To This Song,  Sishangai Sana Watu Wakifananisha Kimtindo NA Climax,  Kuna Kasauti Flani Yes Kinaleta A Little Bit Ladha YA Climax.

Mapenzi Yana Run Dunia NA Huo Ndio Ukweli,  Jamaa Bado Humu Anakomaa Na Mapenzi Tu.
Anasifia Penzi Ambao Analo KwA Mpenzi Wake,  Anamuuliza Baaadhi YA Maswali Ya Kimahaba Kwamba Je Hivi Nikifanya Hivi Kweli Mpenzi Hautachukia,  Mfano Check Hii Anaposema
Would You Mind If I Still Loved You 

Anaendelea TenA Would You Mind If Things Don't Last.

My Best Part Katika Huu Wimbo Ni Hapa

I'm Not Thinking Bout Nobody Else But You
You're The Only One Who Takes Me There
I'm Not Thinking 'Bout Nobody Else But You
You're The Only One Who Takes Me There
I'm Not Thinking 'Bout Nobody Else But You
You're The Only One Who Takes Me There
I'm Not Thinking 'Bout Nobody Else But You
You're The Only One Who Takes Me There

Usher Anakazania Kuonyesha Kuwa Yeye Ni Innocent  Kwa Baby Wake,  Anamwambia Kwamba Hafikirii Kabisa MTU Mwingine Yoyote Zaidi Yake,  Maana Yeye Pekee Ndio Anamfikisha Pale Anapotaka. Hapa I Like Most Lyrics Pamoja Na Jinsi Alivyoimba.

8..Make U A Believer.
Ni Song Inayoanza Kwanza Unaanza Kwa Kuiskia Sauti Ya Future Anaesema Maneno Haya "If Young Metro Don't Trust You I'm Gonna Shoot Ya"  Anamaliza Hapo Then Usher Anaingia Anaaza Kupiga Vocal Yake Ya Kibabe.

Wimbo Huu Tunaona Usher Anataka Kuzidi Kujiaminisha Kwa Baby Wake Kwamba Apuuze Maneno Yote Wanayomwambia Kuhusu Yeye Na Blah Blah Zingine Zinazomuhusu Anazozisikia Azitoe Kabisa... Na Anamwambia Baby Kua Atafanya Awe Anamwamini Zaidi Na Zaidi

Check Chorus Hii "You Keep To What All Your Friends Say,,, Don't Listen Em, They Trynna Take Your Place.... 

I Can Make You A Believer
I can Make You A Believer
When I'm With You I Just Turn All My Phones Off"

Usher Humu Noma Anaendelea Kumwaminisha Zaidi Baby Anamwambia "Girl If I Think It, I Said, I Mean It Believe In That Shit"
Na Anakazia Zaidi Swala Kwa Kumwambia Kua "Anaomba Ampende Yeye Tu Mana Yeye Pekee Ndo Baby Wake Anayemuona"

9..MIND OF MIND
Mind Of A Mind Kama Jina Lilivyo, Anaonyesha A Man Anawaza/Kufanya Nini
Kwanza Anaanza Kwa Kudanganya Kwamba Jana Alikuwa Studio Akirikodi Ndio Maana Akawa Late But Ukweli Hakuwa Studio 😂😂😂 Alikuwa Anavuta Pamoja Na Kunywa Lakini Hakuishia Hapo Alikwenda Kutazama Band NA Akili Yake Yote Ilikuwa Ikiwaza Mademu Tu (Kind Like That)
Huu Wimbo Ni Just Interlude,  Uko Na Only 0:54 (Sekunde 54 Tu ) Na Ndio Wimbo Mfupi Zaidi Katika Hii Album

10..FWM
Hapa Kauita Kwa Kifupi Kupunguza Ukali WA Maneno Ila Anamaanisha Fuck With Me.
Huu Wimbo For The First Time Tu Nilivyousikia Nilitaka Kujua Tu Kwa Haraka Nani Ka Produce Hii Kitu...

Kama Nilicheza Mule Mule... Aliyeproduce Huu Wimbo Si Mwingine Bali Ni Pharell Williams... Wengi Tunamjua Uwezo Wake Katika Production... Basi Huu Wimbo Naweza Sema Uko Tofauti Kidogo Ukianzia Toka Wa Kwanza... I mean Beat Liko Tofauti Na Even Uimbaji Wenyewe Uko Tofauti Sana.

Hapa Napo Bado Usher Anaendelea Kutaka Kujiaminisha Kwa Baby Wake Kwamba Yuko Tayari Kwa Vyovyote Hata Kubadilika Ili Mradi Tu Wawe Safi Tu.. Katika Huu Wimbo Napenda Verse 2 Aisee 

Hapa Ndo Patamu Zaidi
My Best Verse Ni Hii

Tell Me What Nigga Is Perfect?
Tell Me What Nigga Is Right?
Tell Me What Nigga Been With The Same Bitch
And She Been Holding It Down For Life
Tell Me Who Get It Right On The First Try?
I Know I Did Wrong, But What Nigga Is Trying Harder
Than The One In This Song?
Can You Stay Down? Oh Babe
Fuck With Me, Fuck With Me, Fuck With Me
Boo Don't Give Up On Me Now.

Huu Ndio Wimbo Ambao Naukubali Beat Yake,   I Wish Niweze Kuelezea Unavyoweza Kwenda Nao Hivyo Vigoma Sijui Vinanda Vipiano KwA Mtindo Flani. Mapangilio Wake Jinsi Alivyoingiza Vocals, Salute KwA Alive Legend Usher.

11..RIVALS FT FUTURE.
Kama Unampenda Kweli Usher Raymond.. Huu Wimbo Pia Sio Mgeni Kwako Coz Ulitoka Mwezi August 30 Ukiachiwa Online Tu.. Ila Mwezi September Tarehe 13 Ukaachiwa Kwa Radio Pia.

Wimbo Huu Uliandikwa Na Watu Hawa Wafwatao Future, Kendricke Brown, Cameron Murphy, Paris Jones, Usher Raymond Pamoja Na Mtu Mzima Carlos St John... Huku Waandaaji Wa Wimbo I Mean Producers Wakiwa Ni K-Major Pamoja Na Murphy Kid Wakisimamia Mzigo Mzima Wa Production.

Video Yake Ilishutiwa Atlanta, Georgia Na August 30 Ikaachiwa Kwa Online Ikiwekwa Kwanza Kwa Tidal... Ndani Ya Video Kuna Mastar Baadhi Walionekana Kama Keri Hilson, Dj Drama N.k

Wimbo Huu Unaanza Kwa Maneno Ya Future Ambaye Anatamka Haya Maneno  "She Got Throwin Spades Ace With That Mouth,,,, Then Anamalizia Na Hii Could Tell You Gotta Give Me Dirty Love"
Hii Album Imetulia Vyema Sana... Huu Wimbo Una Beat Flani La Kutulia Sana Yani Ni Crank Flani Ya Utulivu Inaykufanya Utake Kusikiliza Zaidi Nini Anaimba Na Sio Kucheza Tu..

Inshort Humu Bado Usher Anaendelea Kulalamika Kwamba Bado Anampenda Sana Baby Wake Sana Sana Na Bado Yupo Tayari Kwa Lolote Ili Tu Wasije Kua Ma Rivals What He Needs Ni Waendeleze Mapenzi Yao Tu... Coz Anampenda Sana Na Ndo Hicho Tu Anachotaka..

Kwa upande Wa Ndugu Yetu Future Katisha Sana Nae Pia Nakusogezea Ka Kipande Kadogo Tu Kasehemu Alikoimba 

" Make every day our love season Dirty lover you are my riderThat should be enough reason I call you baby that's only your title Cause I don't need no more rivals I put that on the Bible I'ma love ya till my time's gone You gotta give me dirty love"

12. TELL ME (HII NDIO BEST SONG YANGU KUTOKA HII ALBUM)
Unajua Kuna Nyimbo Ukisikiliza Zina Lyrics Tamm Kichizi...Alafu Kuna Nyimbo Zina Beat Tata Tu Just Da Beat Unajikuta Unataka Umute Maneno Usikilize Lenyewe Ulale😂....Alafu Kuna Nyimbo Sauti Na Vionjo Vya Msanii Ndo Kitu Pekee Kinakufanya Uupende Coz Humo Ndan Artist Kabwaga Manyanga Yote, Hivyo Vitu Vitatu Pekee Utazipata Ndani Ya Hii Wimbo!

Track Iko Na Dakika 8:29 Ila Sio Kesi Sana Kwani Ubora Na Uzuri wake Hata Kama Zingekuwa Dakika 10 Usingestuka Kwa Maana Hauchoshi Kabisa (Njoo Uniambie Ukishausikiliza) Tell Me Is Kind Of Sexual Love Ambazo Ziliwahi Fanywa Kama NA Marvin Gaye NA AL Green.

Sasa Humu Ndani Blaza Legend Himself Kafanya Sifa, Sababu Wimbo Umebeba Kila Kitu Kuanzia Beat Followed By Alivyopangilia Sauti Anapanda Na Kushuka Mpaka Maneno Yanayokufanya Uhisi Kumtafuta Mwenza Wako Popote Pale Alipo..!!Wimbo Unaanza Na Beat Flani Hivi From A Distance And Followed By Maneno Machache Akiwa Ananong'ona Flani Hiv "I Just Wanna Take My Time" 

Then Anatulia Kidogo Akikuacha Na Beat Na Vionjo Kama Ooooohh Vinavyokufanya Utaman Kuusikia Zaidi...Nakumbuka Mara Ya Kwanza Kuusikiliza Honestly Nilifumba Macho Kuupa All Da Attention It Needed Sababu Huu Wimbo Ni Ule Ambao Unausikiliza Ukiwa Hufanyi Kitu Chochote (Kwa Mara Ya Kwanza)Ukishauzoea Utakuta Unahangaika Nao Mwenyewe.

About Da Song
"This Is Pure Bedroom Track" (Na Huu Wimbo Nitaendelea Kuupa a.k.a Za Kutosha Kama Bedroom Track,  Baby Maker, Nyimbo YA Kutafutia Mtoto Nk) Huu Wimbo Ni Kuhusu Kwichikwichi Lakini Sio Just Kwichikwichi Pekee Huu Wimbo Ni Honest And Pure Love Making Kati Ya Watu Wawili 

Kama Anavyoanza Verse I
We're Here Alone While The Thunder Is Roaring
And The Windows Are Blowing
'Cause It's Storming And Pouring Tonight
I Put My Hand On Your Chest
I Can Feel Your Heart
And It's Beating Kinda Fast, So Is Mine
In This Moment Of Silence, You Look Me In The Eyes
Nothing Is Verbalized, But So Much Is Said
I Need You So Much
The More I'm Away From You, The More Of You I Want.

Ni Kuhusu Ile Feeling Unaipata Ukiwa Na Mwenza Wako Moment Of Silence, Mtu Unaempenda Anaekupa Dat Kind Of Feeling Kwamba Hakuna Mbingu Wala Ardhi Mkiwa Wawili Dat Kind Ndo Inaongelewa Humu, Usher Anaonekana Inlove Na Msichana Ambae Usher Anataka Kumpa His All Kiasi Kwamba Anajua Ndege Ni Wake So Hana Haraka, He Just Wana Take His Time Pia Anauliza Kama Mdada Anataka Kitendo Hicho Kifanyike As Much As Usher Want. (Damn Ana Hatari Huyu)

Usher Kaonyesha Sifa Zake Humu Kuwa Anasauti Hata Tank, Baby Face Wakajipange 😂😂😂 Sio Mpangilio Wa Beat Tu Bali Hata Anavyoimba U CAN FEEL DA FEELING...Yaan Kwa Kuusikiliza Tu Unaeza Muita Baby Wako Gheto Mlianzishe Kusumbua Majirani....Na Kwa Wadada Huu Wimbo Ukipigwa Wakati Mko Mihangaikoni Na Mimba Unaikubali🏃🏼🏃🏼🏃🏼🏃🏼  

Kama Hii Hapa Anasema
When You So Wet And I'm So Hard
And When The Two Become One, It's Like Oh My God
And Then We Feeling Like Our Spirits Want To Leave Our Body
Leave Our Body, Leave Our Body....
Wakubwa Tumeelewana!! 

Tell Me By Usher
Writer: Usher IV Himself,Chandler N.k
Producer: Ryan Toby,Ted Drumz
Lenghth/Urefu : Dk 8:29

Kwangu Mimi Nimeamua Kuupa a.k.a Baby Maker Song😂😂😂😂 , Lakini Pia Angalizo, Huna Mwenza Don't Listening To It Nao Pia Huu Ni Genye Maker 😂😂😂🏃🏽🏃🏽🏃🏽 Natania.

Ps:Nausikiliza Huu Wimbo Alafu Napicture Video Ya Back To Sleep Ya Breezy Vinaendana Mno Sema Usher Anajiheshimu, Japo Now Ndio Music Video Ambayo NatAmani Iwe Released 😂😂😂😂.

NB I Bet Somebody Gonna Get Pregnant To This Shit.
Unajua Nini, Huu Wimbo Wengi YA Washkaji Zangu Waliopata Bahati YA Kuusikia Nao Umekuwa Ni Best Song Yao, (Juzi Kati Niliweka Clip Kuna Mtu Wangu Nae Kabebwa Balaa NA Huu Wimbo)

13..HARD II LOVE.
Huu Ndo Wimbo Uliobeba Jina La Album.... Uko Na Dakika 3:23 Tu.
Let Me Tell You This... Kama Mpaka Sasa Hujatafuta Hii Album Aisee Kuna Vingi Sana Unakosa.. Naweza Sema Humu Usher Alitulia Sana Sana.

Baada Ya Kubembembelezaaa Sana Vya Kutosha Sasa Inaonekana Mtoto Kaanza Kumwelewa Kimtindo Usher Ila Usher Ana Wasi wasi Na Baby Kama Kweli Anampenda For Real.. Humu Yuko Anamtishia Baby Wake Kwamba Anaona Kama Baby Wake Yuko Anacheza Kamali Kumpenda Yeye.. So Usher Hapa Anatishia Kwamba Ni Lazima Ashinde Kumpenda Kama Atafeli Haki Ya Nani Atamuua 😂😂😂

Na Usher Anakubali Kwamba Ni Kweli Kama Yeye Hajui Kupenda Hivi Mana Kupenda Nako Ni Kazi Nzito.... Unabisha Waulize Wanaopenda 😂😂😂

Beat Humu Imepigwa Piano Flani Hivi Ya Taratibu Ambayo Nayo Inakuladhimisha Lazima Kusikiliza Nini Anachoimba Na Anachomaanisha Pia..

What I Love From This Song... Ni Kwenye Kiitikio Kwa Jinsi Alivyoimba Aisee Ni Tofauti Sana.. Kaichezea Sana Sauti Usher Dadeki... Anakwambia

"It's Like You Gambling Falling For Me,..... I'll Kill you, You Gon' Lose... Sasa Hii You Gon Lose Anavyoitamka Sasa Ndo 🔥🔥🔥Noma...

Na Napenda Hapa Anaposema.. 
I know that I'm, hard to love, hard to love, hard to love Hard to love, hard to love, hard to love And I know that I'm, hard to trust, hard to trust, hard to trust Hard to trust, hard to trust, hard to trust" Sasa Hiyo Hard To Love Anavyoitamka Ndo Sheeedah Ya Pili.

14.. STRONGER
Huu Wimbo Dah Najua Wengi Utawagusa, Nadhani AllMost Wote Tumeshapitia Situation Ya Kuondokewa Na Mtu (Msiba) It's All About Kumtia Mtu Moyo Afta Difficult Situations Ambayo Amepitia. Lakini Bado Unaweza Ukatumika Hata Kumtia MTu Moyo (Kind Kama Umekaa Kidini.)

Check Unavyoanza
Been Through Hell, Now I'm Helpful
Pouring Cups Of Whiskey To Get Through It
Oh Sweet Child Of Mine, Gone Way Too Soon
Lost Myself And Lost My Faith Too. (Usiombe Uka Loose Faith Unaona Kama Dunia Imesimama Au Kama Unaonewa) 

Nimependa Sana,  Kwanza Ina Beat Flani Ya Kibabe. Lakini Pia Kuna Time Usher Ana Sound NA Kufanya Nihisi Kama Kafanya Collabo NA R. Kelly,  Kuna Muda Kama Namsikia Kelly Humu.
Wimbo Huu Hata Kama Umeloose Hope,  Itakurudisha Tu Katika Mstari NA Kufanya Uwe Na Nguvu Flani Hivi (YA Kuhisi)

Though You're Gone You Still Live In My Mind
The Only Thing We Ran Out Of Is Time
Since You Left I Ain't Been Quite The Same
I Wonder If You Miss Me, Do I Make You Proud
Know You're Watching Me, I Feel Your Spirit
I Keep You Right By My Side
I'm Stronger Than Ever Now, Far From Perfect
Life Will Knock You Down, Get Back Up
Fight For Whats Worth It
Be Strong Enough, I Know Its Easier Said Than Done

Huu Wimbo Umeandikwa Na Mikono Kibao Akiwepo Usher Himself NA Vichwa Hivi Titus Stubblefield,  Yonatan Ayal, Joseph Hill Jr,  Taji Ausar, Andrew Fridge,  Elley Duhe Pamoja Na Zachary Williams Na Kuwa Produced NA J Hill Pamoja Na Tane Run.  Wimbo Uko Na Dakika 4:00

15... CHAMPIONS
Champions Ndio Wimbo #15 Katika Album Hii,  Wimbo Wa Mwisho Kwa Maana Nyingine,  Na Ni Wimbo Ambao UlikuwA Maalum As Soundtrack YA Movie Ya Hands Of Stone.

Wimbo Huu Ameufanya NA Singer From Panama Ruben Blades,  Na By The Way Baada Ya Kumsikia Huyu Mpanama Nimeamua Kumtafuta Kumsikia Coz Kama Masikioni Mwangu Amekubalika.

Wimbo Huu Umetoka August 26, 2016 As Digital Download,  Upo Na Mahadhi Ya RnB,  Na Umetoka Chini Ya Label Ya RCA.

Umeandikwa Na Usher Mwenyewe Alishirikiana Na Ruben Blades,  Raphael Saadiq,  Charles Ray Wiggins  & Taura stinson Na Saadiq Ndio Ambaye Kusimamia Production, Na Uko Na Dakika 5:17
Music Video Ikawa Uploaded Katika Acc Za Usher YouTube NA Vevo August 29, 2016 Na Iko NA Clip Baadhi Vya Movie Ya Hands Of Stone.

Back To Song Itself.
Wimbo Ni Kuhusu Amani (short And Clear) Inaonyesha Kwamba Binadamu From Nchi Moja Anaweza Kuitafuta Amani Hata YA Nchi Nyingine (Thus Means KamA Ana Uwezo Wa Kutafuta Amani Kwa Nchi Nyingine Obvious Hawawezi Kufight Each Other- Nimejiongeza)

I'll Fight For My Country
You Fight For Your Country
We'll See The Victory
They'll Get The Victory
Man a Man And Heart To Heart
Face To Face But Worlds Apart
You And I, We're Champions
We're Champions, We're Champions
You Fight For My Country
I'll Fight For Your Country
We'll See The Victory
Together Get That Victory
Man a Man And Heart To Heart
Face To Face But Worlds Apart
You And I, We're Champions
We're Champions, We're Champions

Ila Pia Ile Lugha Nadhani Ni YA Kipanama Imenogesha Huu Wimbo Kinoma.

De amarguras y esperanzas
De las penas y el dolor
De una fé que todo alcanza
De allí es como nace un campeón

About TNZ: Entertainment News

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.