Celebrity

Chris Brown Matatani, Amtishia Mwanamke, Silaha Na Unga Vyakutwa Nyumbani Kwake


Polisi Wamekuta Madawa ya Kulevya na Silaha Katika Nyumba Anayoishi Chris Brown. Tukio Hili Limetokea Jumanne Asubuhi Baada Ya Mwanamke Mmoja Kuwapigia Simu Polisi Akidai Kutishiwa Kwa Silaha Na Breezy.


Polisi Baada ya Kupata Taarifa Hiyo Wakazingira Nyumba ya Breezy Na Katika Ukaguzi Walioufanya Wamekuta Begi La Madawa Ya Kulevya Na Silaha Vilivyotupwa Dirishani.

Breezy Mwenyewe Amekanusha Tuhuma Hizo Na Amewaeleza Polisi Kuwa Wakati Ambao Mwanamke Huyo Anadai Kutishiwa, Breezy Alikuwa Amelala Hivyo Hajui Lolote Lile Linaloendelea.

Mwanamama Huyo Na Yeye Anasema Angefanya nini Zaidi Ya Kuwaita Polisi Pale Alipotishiwa Na Silaha?

Chris Brown Aligoma Kutoka Nje, Mpaka Pale Mwanasheria Wake Alipofika Ndipo Akakubali Kutoka Nje, Kabla Ya Hapo Alipost Video Katika Akaunti Ya Instagram Kukanusha Kuwa HajamtishA Mwanamke Huyo. Katika Video Hiyo Chris Alikumbushia Kuwa Black Life Matter Hivyo Yeye Anasingiziwa Tu.

Je? Hii Ni Habari Njema Kwa Nia???? Tupe Maoni Yako

Angalia Video Hapa Ya Kilichokuwa Kinaendelea Kwa Chris Brown



Video Aliyopost Breezy Instagram

About TNZ: Entertainment News

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.