Tuliposikia Kuwa Tayari Mafile Ya Divorce Yapo Kwa Pilato, Tukajua Tayari Mambo Yako Juu Ya Mawe.
Lakini Inawezekana Mambo Yakawa Tofauti Kama Tunavyofikiri Na Tiny Labda Alikuwa Anabeep Kumkumbusha T.I Umuhimu Wake Yeye Tiny.
Hayo Yamezuka Baada Ya Tiny Kuswalikwa Swali Na Shabiki Mmoja Kuhusu Her Relationship Status. Kupitia Instagram Live Tiny Hakuwa Na Ajizi Na Alisikia Akisema
"He Need To Come Back To Me, Baby, He Need To Come Back To Me, I'm Where Am Supposed To Be At"
Watch Tuliposikia Kuwa Latest Videos
ReplyDelete