Celebrity

Selena Na The Weeknd Ni Mwendo Wa Kobe Tu Sasa!


Inawezekana Selena Huyu Siyo Yule Tuliyemzoea, Inawezekana Huyu Amekuwa Kabisa Na Hata Papara Linapokuja Suala La Mapenzi.

Mbali Na Kuwa Uhusiano Wake Na The Weeknd Umeonekana Ni Kama Papara Lakini Taarifa Kutoka Watu Wa Karibu Wa Wawili Hao Zinasema Kuwa Bado Wawili Wamepeana Muda Wa Kujuana Kwanza.

Chanzo Cha Habari Kinasema Kuwa Kwa Sasa Wapo Wanafurahia Maisha Yao Huku Wakijipa Muda Wa Kutosha Kujuana.

"The Weeknd Anaonesha Kumpenda Sana Selena, Wanacheza Pamoja Na Kufurahi Pamoja Kikubwa Wanajipa Muda Wa Kujuana Zaidi," Kilisikika Chanzo Cha Habari Hii.

Mbali Na Picha Zilizosambaa Wiki Mbili Zilizopita Zikiwaonesha Wawili Hao Wakiwa Ndani Ya Mahaba Mazito Lakini Chanzo Chetu Kinatuambia Kuwa Wawili Hao Hawa Papara Wanaenda Taratibu Huku Wakijipa Muda Wa Kutosha Kujuana.

About TNZ: Entertainment News

1 comments:

Powered by Blogger.