Celebrity

Sina Shida Na Scott, Akae Tu Kwenye Mstari - Kourtney Kardashian


In And Out Za Scott Na Kourtney Bado Hazijaisha Kabisa, Habari Kutoka Kwa Watu Wa Karibu Na Scott Wanasema, Kourtney Amekubali Kuwa Karibu Na Scott Tena Ila Tu Kama Scott Atakubali Kufata Sheria Walizojiwekea.

Chanzo Hicho Cha Habari Kinasema Kuwa Kourtney Amemwambia Scott Anataka Awe Tayari Kumuacha Kourtney Aendelee Kudate Na Mwanaume Wengine.
Pia Kama Scott Akitaka Ukaribu Wake Na Kourtney Usiharibike Anatakiwa Aachane Kabisa Na Zile Bata Zake Anazozipenda. Taarifa Zinasema Kuwa Scott Amekubali Na Tayari Mambo Yako Vizuri Baina Ya Wazazi Hao Waliounganishwa Na Watoto Wao 3.
Taarifa Zinaendelea Kusema Kuwa Wawili Hao Baada Ya Kukubaliana, Waliamua Kutumia Muda Wao Wakiwa Pamoja Na Watoto Wao Watatu Lengo Likiwa Kuwaonesha Watoto Kuwa Hakuna Tena Ugomvi Baina Yao


Ikumbukwe Kuwa Mwezi Wa May Mwaka Huu, Kourtney Alikasirishwa Na Kitendo Cha Scott Kuandaa Party La Nguvu Kama Ishara Ya Kumkomoa. Baada Ya Tukio Hilo Kourtney Akampiga Marafuku Scott Kuonana Na Watoto Mpaka Hapo Atakapojirekebisha. Na Kwa Sasa Mambo Yamekuwa Shwari Baina Yao Basi Wanaweza Kuspend Na Watoto Kwa Pamoja.
Usipitwe Na Update Za Kutosha Katika Kiganja Chako, Tucheki Instagram Sasa

About TNZ: Entertainment News

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.