Celebrity

Nick Cannon & Chilli: Kunani Kati Yao???


Unalikumbuka Kundi La Music La TLC?? Unamkumbuka Mrembo Wa Kiafrika Kutoka Katika Kundi Hilo, Yes Namzungumzia Chilli Kutoka TLC.

Hivi Karibuni Kumekuwa Na Tetesi Kuwa Nick Cannon Na Chilli Ni Wapenzi. Na Mpaka Sasa Hakuna Aliyetoka Na Kukanusha Habari Hizo.

Hata Nick Alipowekwa Mtu Kati Na Waandishi Wa Habari Hakukubali Wala Kukataa Uvumi Huo Kitu Ambacho Kinaonesha Kuna Uwezekano Wawili Hao Wakawa Ni Wapenzi.

Nick Alipoulizwa Alisema "Tumekuwa Tukitumia Muda Mwingi Pamoja. Lakini Siwezi Kusema....... Labda Mumulize Yeye (Chilli), Yeah, Muulizeni Yeye Juu Ya Kinachoendelea"

Nick Alienda Mbali Zaidi Na Kusema Huwa Anajisikia Furaha Akimuona Chilli, Na Yeye Ni Mwanaume Mwenye Bahati Kuhisiwa Kudate Na Mwanamke Kama Chilli"

Haya Kwa Majibu Hayo Wewe Unasemaje? Vipi Wanadate Hawa Au Twende Tukamuulize Chilli?


About TNZ: Entertainment News

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.