Show Ya Rihanna Iliyokuwa Ifanyike Ufaransa Usiku Wa Ijumaa Imekatishwa Kutokana Na Shambulio La Kigaidi Lilofanyika Katika Mji Wa Nice Ambapo Dereva Wa Lori Kugonga Na Kuua Watu Takribani 80.
Dereva Huyo Pia Aliwafyatulia Risasi Watu Hao. Maaskari Walifanikia Kumdhibiti Dereva Huyo Na Kumua.
Wakati Shambulio Hilo Likitokea Rihanna Alikuwa Tayari Katika Mji Huo Wa Nice Na Alikuwa Anaendelea Na Maandilizi Ya Show Yake Mjini Humo
Taarifa Zinasema Kuwa Watu Wa Rihanna Walikuwa Wanafanya Mpango Wa Kumuondoa Rihanna Katika Mji Huo Kwa Haraka Ili Kulinda Usalama Wake.
Mpaka Sasa Bado Haijajulikana Kama Show Hiyo Itafanyika Au Ndiyo Itaota Manyoa Jumla
0 comments:
Post a Comment