Kama Ulizani Kuwa Ugomvi Wa Kanye West Na Taylor Swift Umeisha Basi Umejidanganya. Bifu Hilo Limeeanza Upya Hasa Baada Ya Kim Kardashian Kumtetea Mumewe Kuwa Taylor Swift Alikuwa Anajua Kila Kitu Kuhusu Wimbo Wa Famous.
Wimbo Uliozua Mzozo Kutokana Na Mstari Unaosema "I Made That Bitch Famous", Swift Hakupendezwa Na Mstari Huo Kwani Unamdhalisha Na Anasema Kuwa Hakuwahi Kuambiwa Kuwa Katika Nyimbo Hiyo Ya Famous Kutakuwa Na Mstari Huo.
Kanye West Na Kim Kardashian Wamejitahidi Kueleza Issue Ilivyokuwa Mpaka Kupost Video Ikionesha Kanye West Akiongea Na Simu Na Mdada Anayesadikiwa Kuwa Ni Taylor Swift. Video Hiyo Hii Hapa
Lakini Kitendo Hicho Kikamtibua Swift Na Yeye Akaamua Kutoa Yake Ya Moyoni, Akiendelea Kumtuhumu Kanye Na Kim Waache Mbinu Za Kiuaji Hizo Wanazomfanyia. Siwft Amedai Kanye Aonyeshe Video Aliyoirekodi Akimwambia Kuwa Kutakuwa Na Mstari Unamuita Bitch Katika Nyimbo Ya Famous

0 comments:
Post a Comment