Celebrity

Kim Kardashian Kuacha Kupiga Picha Za Utupu Ni Kama Adele Kuacha Kuimba - Kanye West


Kama Ulifikiria Kuwa Kanye West Anachukizwa Na Picha Za Utupu Anazopiga Kim Kardashian Basi Umekosea Sana. Kanye Anafurahia Kuona Kim Akipiga Picha Hizo.


Akiongea Na Harper's Bazaar Kanye Alisema "Napenda Picha Za Utupu Anazojipiga, Napenda Akijipiga KwA Nyuma, Mbele Na Hata Akijipiga Kiupande. Napenda Kumuona Akiwa Hana Nguo, Hiyo Hali Naipenda Sana. Napenda Lile Shepu Lake Zuri, Yaani Ni Kama Kachorwa, Tena Mchoro Wa Kisasa Kabisa"


Kanye Aliendelea Kueleza Namna Gani Anapenda Kim Awe Huru, Alienda Mbali Zaidi Na Kusema "Nadhani Kim Anahitaji Umbo Lake Hilo, Kumwambia Asilioneshe Ni Sawa Na Kumwambia Adele Aache Kuimba"

Tunafahamu Kuwa Kim Kardashian Ndiyo Bingwa Wa Picha Za Utupu Lakini Alishangazwa Na Namna Picha Yake Aliyojipiga Kwenye Kioo Ilivyopokewa Kwa Jazba. Kim Anasema "Nilikuwa Naenda Kuoga Ndipo Nikaamua Kujipiga Picha Hiyo, Nimeihifadhi Kwa Mwaka Ndipo Nilipoona Siyo Mbaya Nikipost, Sifanyi Hivi Ili Kuonesha Ulimwengu Juu Ya Nguvu Nilitonayo, Hapana Mimi Siyo Mtu Wa Hivyo

Hayo Ni Kanye Na Mkewe, Je Wewe Unasemaje, Vipi Unaweza Kumrusu Mwandani Wako Apige Picha Za Utupu?

Maoni Yako Hapo Chini Ni Muhimu.

About TNZ: Entertainment News

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.