Movies

Will Smith Na Viola Davis Walivyounganishwa Katika Sucide Squad


Wote Tunafahamu Kuwa Will Smith Huwa Hakosei Pale Linapokuja Suala La Movie, Je Muunganiko Na Mwanamka Mkali Wa Movie na Series Viola Davis Unafikiri Bomu Gani Litalipuliwa Hapo.


Dunia Nzima Itakuwa Katika Cinema Theater Tarehe 5/8/2016 Tayari Kuangalia Mzigo Huu.
Mzigo Umesimamiwa Na Wakali Wa Super Hero, Wakali Kutoka Dc Entertainment Wasambazaji Wakiwa Ni Warner Bros Pictures.

Mzigo Unahusu Shirikia La Kijasusi La Siri Linapoamua Kuchukua Kikundi Hatari Cha Wahalifu Waliofungwa Kuwatumia Kuokoa Nchi Dhidi Ya Operation Iliyoandaliwa Na Watu Wasiojulikana Kufanya Uhalifu Utakaoitikisa Marekani.

Mzigo Ulianza Kushootiwa April 13, 2015 na Tarehe 24, June 2016 Ndipo Walimaliza Kushoot Mzigo Huo. (Wabongo Tunaweza Kweli Kushoot Movie Moja kwa Zaidi Ya Mwaka)

Kazi Kwako Anza Kabisa Kumshawishi Shemela Mapema Ili Muongozane Kucheki Mzigo Huu Mataka Kutoa DC Entertainment, Usisahau Kutafuta Miwani Yako Kabisa Ya 3D, Coz Mzigo Utatoka Katika 2D, 3D, Na IMAZ 3D

Wataalamu Wanasema Kuwa Mzigo Huu Unaweza Kugonga $100–135 million Ya Mauzo Kwa Weekend Yake Ya Kwanza Tu. Tarehe 5/8 Siyo Mbali Tusubiri Tuone Kama Itakuwa Hivyo



Nyimbo Zilizotumika Katika Mzigo Huu Ni Kama Ifuatavyo


No.TitleArtist(s)Length
1."Purple Lamborghini"  Skrillex & Rick Ross3:35
2."Sucker for Pain" (with LogicTy Dolla $ign & X Ambassadors)Lil WayneWiz Khalifa & Imagine Dragons4:03
3."Heathens"  Twenty One Pilots3:15
4."Standing in the Rain" (featuring Mark Ronson)Action Bronson & Dan Auerbach3:22
5."Gangsta"  Kehlani2:57
6."Know Better"  Kevin Gates3:27
7."You Don't Own Me" (featuring G-Eazy)Grace3:19
8."Without Me"  Eminem4:50
9."Wreak Havoc"  Skylar Grey3:48
10."Medieval Warfare"  Grimes3:00
11."Bohemian Rhapsody"  Panic! at the Disco6:03
12."Slippin' Into Darkness"  War3:48
13."Fortunate Son"  Creedence Clearwater Revival2:21
14."I Started a Joke" (featuring Becky Hanson)ConfidentialMX3:10

About TNZ: Entertainment News

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.