Celebrity

Lion King Kunogeshwa Na Beyonce


Fununu Zimetanda Kuwa Disney Wako Katika Maongezi Ya Mwisho Mwisho Kumkatia Beyonce Mkwanja Wa $25m Ili Aweze Kucheza Kama Muigizaji Mkuu Katika Animation Film Ya Lion King.


Mbali Na Kucheza Kama Nala Pia Beyonce Ndiye Anapendekezwa Kurekodi Soundtrack Zote Za Filamu Hii Ya Lion King.

Pamoja Na Kuwa Hakuna Taarifa Zozote Zile Za Beyonce Kukubali Dili Hilo La Wanyetishaji Wetu Wanatuambia Kuwa Queen Bey Yuko Tayari Kukubali Dili Hilo

Kama Beyonce Atakubali Dili Hilo Basi Hii Haitokuwa Mara Ya Kwanza Kwa Bey Kufanya Hivyo Kwani Alishwahi Kufanya Hivyo Hata Kwenye "Dreamgirls"

Kazi Kwenu BeyHive Kuandaa Popcorn Na Butter Kwa Your Queen Is About To Come...

BeyHive Unapenda Beyonce Acheze Kama Nala Kwenye Lion King?

About TNZ: Entertainment News

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.