Celebrity

Scott Hunipati Tena: Kourtney Kardashian



Kourtney Ameamua Kumwaga Unga Kabisa Na Kuvunja Vunja Hata Ile Hope Aliyokuwa Nayo Scott Kuwa Anaweza Kurudiana Naye na Kuishi Kama Mke Na Mume Kama Ilivyokuwa Awali.

Kourtney Ameyasema Hayo Katika Kipindi Cha Keeping Up With Kardashian. Kourtney Alisema Baada ya Haya Yaliyotokea Hapa Costa Rica, Scott Anajua Kuwa Mwisho Umefika. Kourtney Aliyasema Hayo Baada Ya Kunusa Kuwa Scott Alikuwa Na Mwanamke Mwingine Katika Vacation Hiyo.

Walipokuwa Pamoja Katika Pool Kourtney Alisikika Akisema "Unatakiwa Kujua Tu Kuwa Hatuwezi Kurudiana Tena" Aliendelea Kwa Kusema "Kuna Muda Heshima Inatakiwa Ishike Mkondo Wake, Lakini Kwa Hili Hapana, Hili Ni Kunikosea Sana"

Scott Katika Kujitetea Amesikika Akisema "Siku Zote Umekuwa Ukilala Na Watoto Na Mimi Nikilala Peke Yangu. Hayo Ndiyo Yamekuwa Ndiyo Maisha Yangu"

Angalia Video Hapa Kuona Kourtney Akitoka Povu



About TNZ: Entertainment News

1 comments:

Powered by Blogger.