Celebrity

Odell Beckham JR Ndiyo Nani? - Iggy Azalea



Baada ya Kusambaa Kwa Taarifa Kuwa Iggy Na Odell Beckham Jr Wanadate, Iggy Ameamua Kutoka Hadharani na Kukanusha Vikali taarifa hizo.

Akizungumza na Mtandao wa TMZ Sport Iggy Alisikika Akisema Kuwa Hamjui Hata Huyo Mshikaji Ni Nani. Iggy Alienda Mbali Zaidi Na Kutoa Povu Zito Kuwa Yeye Siyo Mshabiki Wa "American Football" Aliifatilia Siku Ile LadY Gaga Alipotumbuiza Kwenye Super Bowl


Alipoulizwa Kuhusu Picha Inayoonekana Wamepiga Pamoja Iggy Alisema Yeye Alipiga Ile Picha Kama Kundi Lakini Hakuna Mahaba Wala Nini.

Msikilize Hapa Iggy Akitoa Povu Lake

About TNZ: Entertainment News

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.