Mtandao Unaoaminika Ni Bora Zaidi Katika Kufatilia Utajiri Wa Watu Mbalimbali Duniani 'Forbes' Umetoa Orodha Ya Mastaa 100 Waliovuna Pesa Ndefu Zaidi Kwa Kipindi Cha Mwaka Mmoja Uliopita.
Mastaa Taylor Swift, Adele Na Kevin Hart Wamefanikiwa Kuingia Katika Kumi Bora Huku Ikishuhudia Rihanna ($75 M) Akishika Nafasi Ya 13, Beyonce($54 M) 34 Na Jay Z ($53.5 M)Akiangukia 36.
Wanamichezo Cristiano Ronaldo Na Lionel Messi Wamefanikia Kushika Nafasi Za 5 Kwa Ronaldo Na 8 Kwa Lionel Messi Huku Lebron James Akikamata Nafasi Ya 11
Mama Yake Saint Na North Kim Kardashian Amejinyakulia Nafasi Ya 42 Kwa Kuingiza Mkwanja Mrefu Zaidi
List Ya Mastaa 10 Bora Na Kiasi Cha Mkwanja Walichoingiza
1. Taylor Swift $170 M
Akiwa Na Umri Wa Miaka 26 Tu Tayari Ameweza Kuwabwaga Mastaa Wengine Na Kukamata Namba Moja Kutoka Namba 9 Kwa Mwaka 2015. Swift Ameingiza Mkwanja Huo Kupitia Show Yake Ya 1989 Tour Pamoja Na Dili Mbalimbali Za Matangazo Kutoka Diet Coke, Keds Na Apple
2. One Direction $110 M
Kuondoka Kwa Zayn Malik Haikuwa Sababu Ya Wao Kuacha Kuendelea Kutamba Katika Anga za Muziki Duniani. Tour Yao Ya Road Again Ilikuwa Ni Moja Ya Shughuli Iliyowaingizia Mkwanja Wa Kutosha. Kutoka Nafasi Ya 4 Mwaka 2015 Mpaka namba 2 Ni Kiashilia Kuwa Hawajaja Kuhabahatisha Katika Muziki.
3. James Patterson $95 M
Umri Umeenda Lakini Bado Anaendelea Kupiga Pesa Kupitia Kalamu Yake Tu, Mzee Ni Mwandishi Wa Vitabu Na Baadhi Ya Vitabu Vyake Vimeweza Kutumia Kutengeneza Filamu. Unaifahamu Series Ya Zoo, Basi Jua Imetoka Kwenye Mikono Ya Huyu Mzee Kupitia Kitabu Chake Chenye Jina Hilo Hilo La Zoo. Mwaka 2015 Alishika Nafasi ya 7
4. Dr. Phill McGraw $95 M
Jamaa Ni Public Speaker Pia Ni Pyschologist, Yaani Kupitia Mdomo Wake Tu Anakusanya Pesa Za Kutosha. Mwaka 2015 Alishika Nafasi ya 15
5. Cristiano Ronaldo $88 M
Kipi Usichojua Kuhusu Staa Huyu Wa Soka Duniani? Jamaa Anapiga Mpunga Kupitia Biashara Zake Za Mavazi, Pia Mikataba Minono Ya Matangazo Kutoka Nike, Tag Heuer Na Monster Headphones. Na Hivi Juzi Tu Hapa Kabeba Kombe La Ulaya Basi Tegemea Jamaa Kuingiza Mkwanja Zaidi. Mwaka 2015 Alishika Nafasi ya 10
6. Kevin Hart $87.5 M
Unaweza Kumdharau Ukiona Anafanya Vituko Vyake Iwe Ni Kwenye Movie Au Red Carpet, Lakini Kupitia Vituko Hivyo Akaunti Yake Benki Inazidi Kutuna. Jamaa Amepiga Bonge La Hatua Yaani Kutoka Nafasi Ya 96 Mwaka 2015 Mpaka Nafasi Ya 6 Si Mchezo. Vichekesho Vyake Mwaka Huu Vimenogesha Movie Kama Ride Along 2 Akiwa Na Ice Cube Na Central Intelligence Akiwa Na The Rock
7. Howard Stern $85 M
Jamaa Ni Mtangazaji Wa Radio Tu Huko Marekani Na Unaambiwa Jamaa Amesaini Dili Na Kituo Cha Radio Cha Sirius XM Radio, Dili Hilo Inasemekana Mkwanja Wake Unaanzia Tarakimu 8 Huko. Mbali Na Kuachana Na America Got Talents Lakini Howard Amefanikiwa Kutengeneza Mkwaja Wa Maana. Mwaka 2015 Alishika Nafasi ya 5
8. Lionel Messi $81.5 M
Kutoka Nafasi Ya 13 Mwaka 2015 Mpaka Namba 8 Si Mchezo, Staa Huyu Wa Soka Anayeshikilia Tunzo Ya Ubora Duniani Kwa Mara Tano, Amekusanya Mkwanja Kutoka Katika Pesa Anayolipwa Na Klabu Yake Ya Barcelona Pamoja Na Bonasi Za Kutosha Pia Dili Za Matangazo Zimechangia Kumuongezea Mkwanja Mshikaji.
9. Adele $80.5 M
Sauti Yake Na Uwezo Wake Wa Kuimba Vilitosha Kuipaisha Album Yake Mpya Na Kufikia Rekodi Ya Kuuza Nakala Zaidi Ya Milioni 3. Unaambia Adele Ni Msanii Pekee Ambaye Katika Orodha Hii Nusu Ya Mkwanja Aliokusanya Unatokana Na Shughuli Za Muziki.
10. Rush Limbaugh $79 M
Jamaa Kwa Kutumia Taaluma Yake Ya Utangazaji Amejikusanyia Mkwanja Wa Kutosha Kabisa Mwaka 2015 Alishika Nafasi ya 11

0 comments:
Post a Comment