Movies

Movie: Criminal Download Hapa


Ni Moja Ya Movie Kali Kwa Mwaka Huu, Umewahi Kujiuliza Kuwa Inawezekana Ubongo Na Akili Yako Vikaamishwa Kutoka Kwako Na Kwenda Kwa Mwingine? Kama Ulifikiri Haiwezeni Basi Angalia Movie Hii.

Baada ya Kifo Cha Mpelelezi Agent Bill Pope, Jopo La Madaktari Wanaamua Kuchukua Ubongo wa Agent Bill Pope Na Kuuhamishia Kwa Mhalifu Na Gaidi Namba Moja Duniani Jerico Stewart (Kevin Costner), Lengo La Kufanya Hvyo Ni Kuweza Kujua Kile Alichokipata Agent Bill Wakati Anapeleleza Kesi Ya Washkaji Waliotaka Kuilipua Marekani.

Wanafanikiwa Kumbadilishia Mshikaji Ubongo Lakini Linaibuka Lingine Kubwa.

Fanya Kuidownload Hii Kwa Kubofya HAPA

About TNZ: Entertainment News

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.