Mbunifu Wa Mavazi Kutoka Tanzania Jana Usiku Alizindua Collection Ya Mavazi Yake Ya Kiume Aliyoipa Jina La Mwanana.
Martin Alizindua Collection Hiyo Katika Uwanja Wa Mpira Wa Cape Town Katika Usiku Wiki Ya Mavazi Ya Kiume Nchini Humo.
Tumekuwekea Picha Mbali Mbali Kutoka Katika Uzinduzi Huo
Credit: Simon Deiner / SDR Photo
0 comments:
Post a Comment