Celebrity

Kylie Jenner Apost Picha Tata Akiwa Na Tyga


Swali Lililoko Vichwani Mwa Watu Wengi Ni Je Wawili Hawa Wamerudiana? Tukiwa Bado Katika Hali Ya Sintofahamu Kylie Ameamua Kutushtua Na Picha Iliyoyoacha Maswali Mengi.


Lakini Picha Hiyo Haikuwa Na Shida Sana Ila Ujumbe Wa Picha Ndiyo Umezua Utata. Katika Picha Hiyo Iliyowaonesha Wawili Hao Wakiwa Katika Mahaba Kylie Aliweka Caption Ikisomeka "Mr & Mrs"

Picha Hiyo Haikukaa Muda Sana Kabla Kylie Hajaifuta Na Watu Wamebaki Kujiuliza Je Wawili Hao Wameona Au Wapo Katika Mpango Wa Ndoa??

Picha Aliyopost Kylie Na Kuifuta Ni Hii Hapa



Muda Ni Wetu Tuendelee Kusubiri Hapa Hapa

About TNZ: Entertainment News

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.