Music

Wanaigeria Walipoamua Kuiweka Work Ya Rihanna Katika Gospel

Kila Mpenzi Wa Burudani Anaijua Hii Ngoma Inaendelea Kutamba Katika Maeneo Mbalimbali Ya Burudani. Nyimbo Yoyote Nzuri Lazima Ije Na Cover Version Mbalimbali.

Tuliwahi Kuicheki Hello Katika Version Ya Cartoon HAPA. Sasa Leo Tunavuka Mpaka Naigeria, Hapo Tunakutana Na Mchekeshaji Mmoja Aliyeamua Kuiweka Work Ya Rihana Katika Gospel Version. Jamaa Anaitwa Emma OhMaGod, Unadhani Vituko Vimeisha Duniani Hebu Cheki Work Katika Gospel Version.

About TNZ: Entertainment News

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.