Akizungumza Na Seth Meyers Amber Rose Ameweka Wazi Kuwa Hujisikia Furaha Pale Anapotwerk Mbele Ya Mtoto Wake Mwenye Umri Wa Miaka 3.
Amber Aliyasema Hayo Alipokuwa Akiipa "Kick" Show Yake Iliyoanza Kurushwa Jana Ijumaa, Amber Alisema "Mama Yangu Anapenda Kuniona Nikitwerk, Siku Moja Aliniambia Hey Am, Hebu Fanya Kutwerk Hapo Kidogo, Na Mimi Nikatwerk Basi Mwanangu Alikuwa Pembeni Na Alianguka Kwa Furaha Huku Akicheka Na Kugalala"
Nilishangaa Sana Na Kuona Namna Gani Mwanangu Amefurahi Kuona Nikitwerk, Sasa Hivi Nimekuwa Nikifanya Hivyo Mbele Yake Hii Ni Kama Njia Ya Kuwa Karibu Zaidi Na Mwanangu" Alisema Amber Rose
Alipoulizwa Anafanya Vipi Mbele Ya Mtoto Amber Alisema "Ninafanya Kama Kawaida, Nainama Kidogo Kisha Naanza Kutikisa Makalio Yangu. Na Yeye Anafurahia Sana"
Amber Aliamua Kuielezea Show Yake Kidogo Na Alisema Show Yake Itakuwa Tofauti Kidogo Huku Ikiwa Wazi Kabisa Na Kwa Kuwa Yeye Ni Feminist Basi Ataoneshwa How Feminist She Is!
Tumekuweka Hapa Video Ya Mahojiano Hayo Kidogo
Vipi Unasema Nini Kuhusu Hoja Ya Amber Rose Ya Kutwerk Mbele Ya Mtoto Ikiwa Ni Njia Ya Kukuweka Karibu Na Mwanao. Je Unaweza Kufanya Hivyo Pia? Dondosha Maoni Yako Hapa Chini
Duh kweli wonders shall never end! yaani mbele ya mwanao unaanza tu kutwerk eti kisa anafurahia. haya wazazi njia mpya ya kufurahisha watoto hiyo
ReplyDelete