Music

Music: Nick Canon Amjibu Mariah Carey Kwa Nyimbo

Kumekuwa Na Taarifa Za Nick Canon Kukataa Kusaini Karatasi Za Talaka Na Kumuacha Huru Aliyekuwa Mke Wake Mariah Carey.

Tetesi Hizi Zimekuwa Zikiripotiwa Sana Siku Za Hivi Karibuni. Sasa Nick Canon Ameamua Isiwe Tabu Ameachiwa Ngoma Mpya Kwa Mtindo Wa Freestyle . Ngoma Hiyo Inaitwa "Divorce Paper"

Hebu Fanya Kuisikiliza Hapa Chini

About TNZ: Entertainment News

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.