Kama Ulifikiria Ndoa Ya Britney Spears Hivi Karibuni Basi Sahau Hilo Kwani Mwenyewe Hana Mpango Wowote Wa Kufunga Ndoa.
Kwa Maelezo Yake Britney Haamini Kama Kuna Mapenzi Kwa Wanaume. Ameyasema Hayo Mbele Ya Camera Akiwa James Corden, Britney Alisema "Siamini Katika Wanaume, Na Siwataki Kabisa, Lakini Ukiniuliza Kuhusu Watoto Yes, Nataka Watoto Wengine Angalau Watatu Wananitosha.
Cheki Video Hapa Kumuangalia Britney Akijieleza
0 comments:
Post a Comment