Celebrity

Kris Jenner Amchana Scott Disick Kuhusu Khourtney


Mama Mzazi Wa Kourtney Kardashian, Bi Kris Jenner Amembia Mkwe Wake Scott Disick Nini Anatakiwa Kufanya Ili Kumfurahisha Mwanaye Kourtney.

Ifahamike Kuwa Kourtney Amesafiri Kwenda Iceland Kwa Ajili Ya Birthday Na Hii Ikiwa Ni Mara Ya Kwanza Kwa Kourtney Kusafiri Kwa Ajili Ya Kusherekea Mfanano Wa Siku Yake Ya Kuzaliwa Akiwa Peke Yake Baada Kwani Kwa Kipindi Cha Takribani Miaka 10 Amekuwa Akifanya Sherehe Hiyo Akiwa Na Scott Disick.

Akiongea Katika Kipindi Chao Maarufu Cha Keep Up With The Kardashian, Kris Jenner Alisikika Akisema "Nilichomsikia Yeye Akisema (Kourtney) Anakutaka Wewe (Scott) Kuwa Mfano Mzuri na Baba Mwema Anayejali, Kufanya Hivyo Anza Kuwa Mzuri Kwako, Anza Kuwa Mwema Kwako Mwenyewe, Ndiyo Ije Kwa Watoto Na Mwisho Kwa Kourtney"

 Baada Ya Maneno Hayo Kriss Jenner Akamalizia Kwa Kusema "Ukifanyia Kazi Haya Basi Hiyo Ndiyo Itakuwa Zawadi Nzuri Ya Birthday Kwa Kourtney"

Angalia Kipande Kidogo Hapa Cha Kris Akiongea Na Scott

About TNZ: Entertainment News

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.