Celebrity

Taylor Swift Na Calvin Harris Wabwagana


Baada Ya Kudumu Katika Mahusiano Kwa Takribani Miezi 15, Hatimaye Wawili Hayo Wamefikia Mwisho.

Japokuwa Sababu Ya Wawili Hao Kuachana Bado Haijawekwa Wazi Ila Habari Za Ndani Zinasema Kuwa Uaminifu Siyo Chanzo Cha Kuachana.


Jarida La People Limeripoti Kuwa Chanzo Kutoka Watu Wa Karibu Wa Taylor Swift Kimeripotiwa Kusema 'There was no drama. Things just don't work out sometimes. No One Cheated'

Tazama Video Hapa Ikikumbusha Mahaba Ya Wawil Hao Yaliyokuwa Yamepewa Jina La Tayvin

About TNZ: Entertainment News

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.