Series

My Girlfriend Is A Gumiho (Download Hapa)


Ni Story ya gumiho mwenye mikia tisa..inaanza kwa kumuonyesha huyo dada Goo San Daek (Han Eun Jung)ambaye ni gumiho mwenye nafasi ya kuwa mtu kamili km tu Mme wake atatunza siri kwa miaka 10.

Lkn akiwa amebakiza cku moja kutimiza huo mda mumewe analewa na anashindwa kuendelea kutunza siri,anamuua na kukimbia na mtt wake wa miaka 9,Yeon.


Kuidownload Series Hii Bofya HAPA

About TNZ: Entertainment News

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.