Kisa Picha Aliyopiga Na Mwanamitindo Kutoka Nchini Ufaransa Olivier Rousteing, Mashabiki Wamuijia Juu Chris Brown Na Kumuita Shoga.
Breezy Hakuweza Kuvumilia Maneno Hayo Ikabidi Awajibu. Chris Aliandikwa Katika Mtandao Wa Twitter Kuwa "Nashangaa Nyie Ndiyo Mlikuwa Wa Kwanza Kuniita Mpinga Mapenzi Ya Jinsia Moja, Lakini Sasa Mnaniita Shoga???? -
Hakuwa Chris Tu Aliyechukizwa Na Maneno Hayo Hata Rapper The Game Naye Aliingilia Kati Na Kusema Kuwa Si Kila Anayepiga Picha Na Shoga Basi Na Yeye Atakuwa Shoga. The Game Alienda Mbali Zaidi Na Kusema Kila Mtu Anajua Kuwa Chris Siyo Shoga, Kila Mtu Anajua Kuwa Chris Ni Mwanamitindo, So Jamani Hebu Muacheni Ili Na Yeye Aishi Basi!!!
Hebu Cheki Comment Za Chris Na The Game Hapa
— BallerAlert (@balleralert) June 2, 2016

0 comments:
Post a Comment