Baada Ya Kusubiri Kwa Kipindi Kirefu, Sasa MTV wameirudisha Katika Runinga Yako Ile Series Kali Ya Scream.
Emma Anarudi Katika Mji Wa Lakewood Ili Kuendelea Na Maisha Yake Lakini Bado Ndoto Za Ajabu Zinaendelea Kumuandama.
Hebu Cheki Trailer Yake Hapa

0 comments:
Post a Comment