Jace Mwenye Umri Wa 53, Alimpiga Risasi Tatu Mke Wake, Moja Alimpiga Kwa Nyuma Na Nyingine Mbili Alimpiga Mguuni Tena Mbele Ya Watoto Wao Wawili Waliokuwa Na Umri Wa Miaka 8 Na Mwingine 5. Sababu Ya Kumuua Mke Wake, Ni Kuwa Mke Alikuwa Anamsumbua Kudai Talaka.
Taarifa Zinasema Kuwa Baada Ya Jace Kumuua Mke Wake, Aliamua Kuwapigia Simu Polisi Na Kuwambia Kuwa Amemua Mke Wake.
Mama Wa Marehemu Alisikitishwa Sana Na Kifo Cha Mwanae Na Aliiambia Mahakama Kuwa Ameumizwa Sana Na Kifo Cha Mwanae, Na Akiwafikiria Wajukuu Zake Anajiuliza Namna Watakvyokua, "Je Wataendelea Kumkumbuka Mama Yao Aliyekuwa Anawapenda Mno? Alihoji Mama Wa Marehemu.
Katika Utetezi Wake Michael Jace Aliaomba Msamaha Kwa Wote Aliowaumiza Kwa Tukio Hilo. Jace Alisema "Kiukweli Hakuna Maelezo Yoyote Kuhusu Tukio Langu La Usiku Ule. Ninaomba Msamaha Wa Dhati Kwa Kila Niliyemuumiza Kwa Tukio Lile.
Mbali Na Series Ya The Shiled, Michael Jace Pia Alionekana Katika Show Ya Southland, Pia Muvi Kama Boogie Nights, Planet Of The Apes Na Forest Gump


0 comments:
Post a Comment