Sports

Mwili Wa Muhammad Ali Ulivyopokelewa Kentucky (Video + Picha)


Zaidi Ya Watu 14,000 Walifika Katika Ukumbi Wa Kentucky Freedom Kuhudhuria Sala Na Tukio La Kuaga Mwili Wa Marehemu Muhammad Ali.


Tazama Tukio Zima Livyokuwa Hapa

Mke Wake Lonnie, Watoto Wake Laila na Hana Pamoja Na Mjukuu Wake Sydney Nao Walionekana Katika Mkusanyiko Huo.

Pia Waliokuwa Wake Zake, Mke Wa Pili Khalilah Camacho-Ali, Mke Wa Tatu Veronica Porche- Ali Nao Walijumuika Kuungana Na Wengine Katika Maombolezo Hayo. Mke Wa Kwanza Sonji Roi Alifariki Mwaka 2005





Aliyekuwa Mke Wa Muhammad Ali - Veronica Porche Ali
Mke Wa Pili Khalilah Camacho-Ali
Mtoto Wa Muhammad Ali - Laila Ali

Mke Wa Pili Khalilah Akiwa Na Mke Wa Sasa (Nne) 

Mjane Wa Muhammad Ali Lonnie Ali
Bingwa Wa Zamani Wa Ndondi Lenox Lewis Naye Alikuwepo

About TNZ: Entertainment News

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.