Movies

Movie: Unstoppable Download Hapa


Bonge Moja Ya La Movie Ndani Yupo Mtu Mzima Denzel Washington Na Chris Pine. Movie Yoyote Ikiwa Na Mmoja Kati Ya Hawa Yaani Hutakiwi Kuchezesha Kope Hata Kidogo.


Movie Inahusu Treni Iliyobeba V ifaa Ambayo Vinaweza Kulipuka, Na Treni Hiyo Iko Kati Kasi Ya Ajabu Ikielekea Katika Mji Wenye Watu Wengi Mno Huku Treni Haina Dereva. Washngton Na Pine Wanaamua Kuifukuzia Treni Hiyo Ili Waweze Kuicontrol Isije Kuleta Hatari.

Treni Iko Na Vyuma Zaidi Ya Milioni Moja Ambavyo Vikilipuka Vitaua Watu Zaidi Ya Laki Moja. Washngton Na Pine Wanatakiwa Kuzuia Hilo. Yaani Ni Muvi Ya Mwendokasi Wa Kutosha

Mzigo Ulitoka 2010 Ukiwa Na Bajeti $85-$95 Milioni Lakini Ikagonga Mauzo $168 Million. Hebu Fanya Kuishusha Hapa Chini.

Kuidownload Hii Hebu Bofya HAPA

About TNZ: Entertainment News

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.