Kuna Watu Maarufu Katika Ulimwengu Wa Movies Na Muziki Ambao Walifahamika Na Wanafahamika Wako Straight Katika Suala Zima La Mahusiano Lakini Walikua Katika Mahusiano Ya Jinsia Moja Huko Nyuma
Selena Marie Gomez Naye Yupo Katika List, Serena Alikua Na Mahusiano Na Justin Beiber, Aliwahi Kuwa Na Mahusiano Na Model Maarufu Ambae Ni Bisexual Cara Delevigne Mnamo Dec 2014..Selena Gomez Alipoulizwa Kuhusu Hili Hakukataa. Cara Yeye Ni Openly Bisexual Na Tangu June 2015 Anatoka Kimapenz Na Annie Clark. Selena Yeye Kwa Sasa Ni Straight.
Mwanamama Lindsay Lohan Ambaye Ni Actress,Singer Na Model Amewahi Kuigiza Movies Kama Mean Girls (2004) Amewahi Kua Katika Mahusiano Na Samantha Ronson Ambae Ni DJ, Singer, Songwriter Walikua Katika Mahusiano Hayo Kuanzia April 2008-March 2009. Lindsay Aliwahi Kusema Yeye Ni Straight Na Alikua Kwenye Mahusiano Hayo Just Ku Gain Experience.
Mick Jagger (Michael Philip Jagger) Ambaye Ni Singer, Actor Na Songwriter Yeye Alifahamika Kipindi Hiko Kama womanizer (Mtu Anaependa Wanawake Sana) Alianzisha Urafiki Na David Bower "Ziggy Stardust" Ambapo Baadae Urafiki Ukageuka Kua Wapenzi Na Mke Wa Bower "Angie" Alisema Aliwafumania Wakiwa Wanafanya Mapenzi Kitandani Kwake Chumbani.
Anne Heche Huyu Ni Actress Wa Movies Za Six Days Seven Nights, I Knew What You Did Last Summer, John Q Na Volcano Alikua Katika Mahusiano Na Ellen Lee DeGeners maarufu Kwa Kipindi Chake Cha "The Ellen DeGeneres Show" Tangu Mwaka 1997-2000. Ellen Alisema Uhusiano Wao Ulivunjika Kwasababu Ya Pressure Ya Umaarufu. Ila Ellen Yeye Ni Lesbian Na Amemuoa Potra De Rossi Tangu Mwaka 2008. Ila Anne Alihojiwa Akasema Kwa Sasa Yeye Ni Straight.
Norma Jeane Mortenson (Merilyn Monore) Actress Maarufu Wa Enzi Zile, Japo Alifahamika Katika Ndoa Zake Alizowahi Kufunga Na Wanaume Tofaut, Authur Miller Na Joe DiMaggio Pia Ilisemekana Alikua Na Mahusiano Na Raisi Wa Kipindi Kile Wa Marekani F.Kennedy Kumbe Aliwahi Kua Kwenye Mahusiano Ya Miaka Minne Na Natasha Lytess Ambae Alikua Kocha Wake Wa Masuala Ya Kuigiza, Aliachana Nae Mwaka 1948 Alipoolewa Na DiMaggio ...Na Aliendelea Kua Straight.. Huyo Kocha Cjui Aliishia Wapi
Gavin Rossdale Ambae Ni Muimbaji Aliwahi Kua Katika Mahusiano Ya Jinsia Moja Na Peter Antony Robinson Maarufu Kama "Marilyn" Ambae Pia Alikua Muimbaji, 2009 Jambo Hili Liligundilika Lakini Gavin Alikataa Kabsa, 2010 Ilibidi Akubali Na Alikiri Kwamba Ni Kwel Aliwahi Kua Na Uhusiano Na Marilyn ,Lakin Yeye Ni Straight..
Pink (Alecia Beth Moore) Muimbaji, Ambae Anafahamika Ni Straight Ashawahi Kua Na Mahusiano Na Demu Mwenzie Kristana Loken Ambaye Ni Actress Na Model, Uhusiano Wao Ulikua Short Lived But Hot And Heavy Romance (Haya Ni Maelezo Ya Pink) Lakini Pink Yeye Anasema Ni Straight.
Demetria Devonne Lovato "Demi Lovato" Hajawahi Kukubali Wala Kukataa Kwamba Aliwahi Kua Katika Mahusiano Ya Jinsia Moja Na Ruby Rose Langenheim Ambae Ni VJ, DJ, TV Presenter Na Actress. Ila Ruby Aliwahi Kusema Hivi "I'm Like The Only One Person Demi Has Slept With That Don't Sell Naked Photos Of Her" Ila Demi Hakumjibu Chochote Na As We Know, Demi Ni Straight.
Drew Barrymore Ambae Ni Actress, Author Na Model Aliwah Kupata Umaarufu Wa Movies Zake Za Poison, Ivy, Bad Girls Na Scream. Aliwahi Kua Na Mahusiano Ya Jinsia Moja Na Jane Prett Ambae Ni Mhariri Wa Magazeti Lakini Drew Kwa Sasa Ni Straight.
Hiyo Ndiyo List Yetu Vipi Yupi Umeshituka Kumuona Katika List Hii Na Wala Hukufikiria Kama Na Yeye Yumo.
Maoni Yako Ni Muhimu Hapa Chini
Selena Marie Gomez Naye Yupo Katika List, Serena Alikua Na Mahusiano Na Justin Beiber, Aliwahi Kuwa Na Mahusiano Na Model Maarufu Ambae Ni Bisexual Cara Delevigne Mnamo Dec 2014..Selena Gomez Alipoulizwa Kuhusu Hili Hakukataa. Cara Yeye Ni Openly Bisexual Na Tangu June 2015 Anatoka Kimapenz Na Annie Clark. Selena Yeye Kwa Sasa Ni Straight.Mwanamama Lindsay Lohan Ambaye Ni Actress,Singer Na Model Amewahi Kuigiza Movies Kama Mean Girls (2004) Amewahi Kua Katika Mahusiano Na Samantha Ronson Ambae Ni DJ, Singer, Songwriter Walikua Katika Mahusiano Hayo Kuanzia April 2008-March 2009. Lindsay Aliwahi Kusema Yeye Ni Straight Na Alikua Kwenye Mahusiano Hayo Just Ku Gain Experience.
Mick Jagger (Michael Philip Jagger) Ambaye Ni Singer, Actor Na Songwriter Yeye Alifahamika Kipindi Hiko Kama womanizer (Mtu Anaependa Wanawake Sana) Alianzisha Urafiki Na David Bower "Ziggy Stardust" Ambapo Baadae Urafiki Ukageuka Kua Wapenzi Na Mke Wa Bower "Angie" Alisema Aliwafumania Wakiwa Wanafanya Mapenzi Kitandani Kwake Chumbani.
Anne Heche Huyu Ni Actress Wa Movies Za Six Days Seven Nights, I Knew What You Did Last Summer, John Q Na Volcano Alikua Katika Mahusiano Na Ellen Lee DeGeners maarufu Kwa Kipindi Chake Cha "The Ellen DeGeneres Show" Tangu Mwaka 1997-2000. Ellen Alisema Uhusiano Wao Ulivunjika Kwasababu Ya Pressure Ya Umaarufu. Ila Ellen Yeye Ni Lesbian Na Amemuoa Potra De Rossi Tangu Mwaka 2008. Ila Anne Alihojiwa Akasema Kwa Sasa Yeye Ni Straight.
Norma Jeane Mortenson (Merilyn Monore) Actress Maarufu Wa Enzi Zile, Japo Alifahamika Katika Ndoa Zake Alizowahi Kufunga Na Wanaume Tofaut, Authur Miller Na Joe DiMaggio Pia Ilisemekana Alikua Na Mahusiano Na Raisi Wa Kipindi Kile Wa Marekani F.Kennedy Kumbe Aliwahi Kua Kwenye Mahusiano Ya Miaka Minne Na Natasha Lytess Ambae Alikua Kocha Wake Wa Masuala Ya Kuigiza, Aliachana Nae Mwaka 1948 Alipoolewa Na DiMaggio ...Na Aliendelea Kua Straight.. Huyo Kocha Cjui Aliishia Wapi
Gavin Rossdale Ambae Ni Muimbaji Aliwahi Kua Katika Mahusiano Ya Jinsia Moja Na Peter Antony Robinson Maarufu Kama "Marilyn" Ambae Pia Alikua Muimbaji, 2009 Jambo Hili Liligundilika Lakini Gavin Alikataa Kabsa, 2010 Ilibidi Akubali Na Alikiri Kwamba Ni Kwel Aliwahi Kua Na Uhusiano Na Marilyn ,Lakin Yeye Ni Straight..
Pink (Alecia Beth Moore) Muimbaji, Ambae Anafahamika Ni Straight Ashawahi Kua Na Mahusiano Na Demu Mwenzie Kristana Loken Ambaye Ni Actress Na Model, Uhusiano Wao Ulikua Short Lived But Hot And Heavy Romance (Haya Ni Maelezo Ya Pink) Lakini Pink Yeye Anasema Ni Straight.
Demetria Devonne Lovato "Demi Lovato" Hajawahi Kukubali Wala Kukataa Kwamba Aliwahi Kua Katika Mahusiano Ya Jinsia Moja Na Ruby Rose Langenheim Ambae Ni VJ, DJ, TV Presenter Na Actress. Ila Ruby Aliwahi Kusema Hivi "I'm Like The Only One Person Demi Has Slept With That Don't Sell Naked Photos Of Her" Ila Demi Hakumjibu Chochote Na As We Know, Demi Ni Straight.
Drew Barrymore Ambae Ni Actress, Author Na Model Aliwah Kupata Umaarufu Wa Movies Zake Za Poison, Ivy, Bad Girls Na Scream. Aliwahi Kua Na Mahusiano Ya Jinsia Moja Na Jane Prett Ambae Ni Mhariri Wa Magazeti Lakini Drew Kwa Sasa Ni Straight.
Hiyo Ndiyo List Yetu Vipi Yupi Umeshituka Kumuona Katika List Hii Na Wala Hukufikiria Kama Na Yeye Yumo.
Maoni Yako Ni Muhimu Hapa Chini

0 comments:
Post a Comment