Weekend Ndiyo Hiyo Inaanza Leo Inawezekana Unajiuliza Wapi Ukacheki Movie Leo, Basi TNZ Tumekuwekea Movie Kali Zinazoonyeshwa Kwenye Kumbi Za Cinema Leo Hii.
Tumekuwekea Trailer Za Movie Zote Zinazoneshwa Leo Kazi Kwako Tu Na Usisahau Kubeba Na Pop Corn Tu
The Nice Guy
Ni Bonge Moja La Action Comedy Movies, Maana Halisi Ya Burudani Iko Hapa
WarCraft
Unapenda Movie Za Watu Wa Ajabu Basi Hii Ndiyo Yenye, Nguvu Za Ajabu Zipo Humu, Uchawi Upo Humu, Ngumi Jiwe Zipo Humu,
Now You See Me 2
Kama Uliiona Namba Moja Yake Nadhani Ulifurahhi Kuona Namna Mazingaombe Yanavyoweza Kuwazingua Watu, Sasa Watu Wakaona Kama Vile Imeishia Hewani Wameamua Kuwaletea Namba 2 Yake. Iko Cinema Tayari
Ip Man 3
Hivi Kati Ya Boxing Na Martial Art Ipi Kali? EEh Umeshawahi Jiulize Hili Swali? Basi Fanya Kucheki Hii Movie Na Kuona Ngumi Za Tyson Zinavypambana Na Kung Fu Za Donnie Yen.
Kizuri Zaidi Ni Kuwa Hii Movie Tayari TNZ Tulishakusogezea Nyumbani Kwako Unaweza Kwenda Kuicheki Leo Cinema Au Unaweza Kuidownload Uicheki Nyumbani. Kama Unataka Kuidownload We Bonyeza HAPA
The Conjuring 2
Unapenda Horror Movies, This Is Your Movie, Fanya Kuchek Uone Mtoto Mdogo Anavyotesa Wakubwa.

0 comments:
Post a Comment