Movies

Korean Movie: Running Man Download Hapa


Jong Woo Ni Baba Wa Mtoto Mmoja, Kazi Yake Jong Woo Ni Fundi Gereji Wakati Wa Mchana Na Wakati Wa Usiku Kazi Yake Ni Dereva Tax. Lengo La Kufanya Kazi Hizi Nyingi Ni Kujiongezea Kipato Ili Aweze Kununua Nyumba Ya Kuishi Yeye Na Familia Yake.

Siku Moja Usiku Maiti Inakutwa Kwenye Tax Ya Jong Woo Hivyo Jong Woo Anageuka Mtuhumiwa Namba Moja Katika Kesi Ya Mauaji. Anaamua Kuishi Kwa Kujificha Huku Akitafunta Mbinu Za Kujinasua Kwenye Kesi Hiyo. Polisi Wanamtafuta, Vyombo Vya Habari Vinamtafuta Na Pia Kuna Watu Wengine Ambao Hawajulikani Nao Wanamtafuta Kimbembe Ndiyo Kinaanzia Hapo.

Fanya Kubofya Link Hii Kudownload Movie Hii

About TNZ: Entertainment News

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.