Ili Kunogesha Tour Yake Inayoendelea Huko Ulaya, Breezy Hakuwa Peke Yake Ila Ameongozana Na African Star Boy "Wizkid" Kuweka Ladha Za Mziki Wa Kiafrika Katika Show Zake.
Hit Maker Huyo Wa Ojuelegba Amepata Shavu Hilo Katika Tour Hiyo Iliyopewa Jina La "One Hell Of Nite Tour" Na Atazunguuka Na Chris Brown Katika Miji Yote Ya Ulaya Ikiwemo Copenhagen Na Humburg Ambapo Tayari Wameshaangusha Show Za Kufa Mtu.
Tazama Hapa Kuona Namna Breezy Anavyomtambulisha Wizkid Katika Jukwaa

0 comments:
Post a Comment