Muondelezo Wa Movies Za Fast And Furious Tayari Umeshaanza. Na Sasa Wapo Tayari Kukuletea Fast and Furious 8.
Kuonesha Kuwa Hawataki Mchezo Uongozi Waandaaji Wa Movies Hizo Umewawekea Kipande Kidogo Cha Namna Fast 8 Itakavyokuwa.
Movie Hiyo Inayotegemewa Kutoka 14/4/2017 Tayari Imeshaanza Kutengenezwa. Cheki Jinsi Inavyotengenezwa Wakati Wakiwa Huko ICELAND.
Tazama Video Hapa

0 comments:
Post a Comment