Katika Game Ya Pili Ya Fainali Ya NBA Iliyozikutanisha Golden State Warriors Na Cleveland Cavaliers Ilishuhudia Warriors Wakiibuka Na Ushindi 110 - 77 Na Kufanya Kuongoza Kwa Michezo 2 - 0.

Mmoja Ya Watu Maarufu Walihudhuria Mechi Hiyo Alikuwa Ni Staa Wa Barcelona, Neymar Jr Ambaye Yupo Mapumzikoni Huko Marekani.
Baada Ya Mechi Neymar Aliungana Na Rafiki Zake Wanaotoka Brazil Lakini Wanakipiga Kikapu Katika Timu Ya Warriors Barbosa na Anderson Varejao.
Barbosa Hakuacha Kumsifia Neymar Kwa Kile Anachokifanya Uwanjani Na Akaenda Mbali Zaidi Kumlinganisha Na Mchezaji Bora Wa NBA Stephen Curry. Barbosa Alisema "Wachezaji Wa Warriors Wamekuwa Na Furaha Kukutana Na Neymar, Wote Tunamuangalia Akiwa Anacheza Mpira Na Mambo Yake Uwanjani Ni Kama Steph (Curry) Anavyofanya Kwenye Koti Ya Basketball, Sina Hakika Kama Tunaweza Kuwalinganisha Lakini Ni Kama Wanafanana. Ni Jambo La Furaha Sana Kuwa Pamoja Kwa Sasa

0 comments:
Post a Comment