Gossip

Urafiki Wa Jhene Aiko Na Big Sean Waendelea Kuzua Utata


Baada Ya Jhene Aiko Na Big Sean Kufanya Project Ya Pamoja Inayojulikana Kama 'Twenty 88' , Wawili Hao Wameendelea Kuwa Karibu Sana Huku Ukaribu Huo Ukiendelea Kuchochea Tetesi Za Wawili Hao Kuwa Kwenye Mahusiano. 

Inasemekana Kuwa Jhene Aiko Amemuacha Mumewe,-Oladipo Omishore Ambaye Ni Music Producer Wake Na Kuhamisha Mapenzi Kwa Big Sean. Mwezi Uliopita, April, Oladipo Omishore Alifuta Picha Zote Za Jhene Aiko Baada Ya Kuhisi Mkewe Ana Mahusiano Ya Kisiri Na Big Sean.

Mpaka Sasa Hamna Aliyejitokeza Kukanusha Wala Kukubali Tetesi Hizo

About TNZ: Entertainment News

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.