This Is So Fan. Sasa Bwana Tyga Anajitetea Kwa Kusema Yeye Alijua Ni Zawadi Na Sio Mkopo. Kylie Ameamua Kumuhusisha Na Maza Wake Kris Jenner.
Ukiacha Hiyo, Dogo Kamlipia Sana Mshkaji Legal Bills Zake Haswa Wakati Anajitoa Katika Label Yake.
Tusishangae Tukisikia Siku Wamepelekana Mahakamani, Wakiwa Wana Tofauti Ya Kujua Ni Mkopo Na Zawadi.
Tyga Alikamatia Fursa. Okay Ngoja Tuone Kipi Kingine Kitajitokeza Au Kuongelewa.
Habari Zinasema Baada YaTyga KUpata Kuambiwa Kulipa Pesa Hizo Alipata Mshituko Sana Na Kudai Ile Ilikuwa Zawadi Na Wala Haikuwa Mkopo, Sasa Kwanini Alipe Zawadi Kitu Kilichomfanya Kylie Amdokeze Mama Yake Kriss Jenner
Baada Ya Tyga Kusema Ile Ilikuwa Zawadi Majibu Ya Kylie Haya Hapa
0 comments:
Post a Comment