Gossip

Solange Na Mumewe Wategemea Kupata Mtoto, Beyonce Sasa Kuitwa Shangazi



Unakumbuka Ile Ndoa Iliyobreak Internet Kwa Wanandoa Kupanda Baiskeli? Yes, Nawazungumzia Solange Knowles Mdogo Wa Beyonce Na Mumewe Alan Ferguson.

Wanandoa Hawa Sasa Inasemekana Kuwa Wanatarajia Mtoto Wao Wa Kwanza. Ikiumbukwe Kuwa Solange Mwenye Miaka 30 Huyu Atakuwa Mtoto Wa Pili Kwake Baada Ya Juelz, 12 Aliyezaa Na Mume Wake Wa Kwanza Daniel Juelz Mwaka 2004. Lakini Huyu Atakuwa Ni Mtoto Wa Kwanza Kwa Alan


Japo Mpaka Sasa Hakuna Kati Ya  Wawili Hao Hakuna Ambaye Ametoka Hadharani Kuthibitisha Habari Hii Njema Kwao.

About TNZ: Entertainment News

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.