Celebrity

Blac Chyna Shujaa Wa Kupunguza Uzito Wa Rob Kardshian

The Kardashian Watakuwa Wameshukuru Uwepo Wa Chyna Kwa Kijana Wao Rob Kardashian. Rob Amekiri Mwenye Kuwa Blac Chayna Amekuwa Ni Msaada Mkubwa Kwake Katika Safari Yake Ya Kupnguza Uzito.

Rob Ameandika Katika Mtandao Wake Kuwa Japo Bado Anakazi Ya Kufanya Lakini Anafurahia Mwili Wake Wa Sasa Na Bado Anataka Apungue.

Tazama Alichokipost Rob Hapa


Tazama Hapa Pia Kuangalia Namna Blac Chyana Anavyomsaidia Rob Kupunguza Mwili

About TNZ: Entertainment News

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.