Fainali Kubwa Katika Ngazi Ya Klabu Huko Barani Ulaya Inategemea Kupiga Leo Katika Jiji La Milan Uwanja Wa San Siro Nchini Italia.
Fainali Hiyo Itazikutanisha Real Madrid Na Atletico Madrid, Mahasimu Hawa Wanaotoka Katika Jiji La Madrid Huko Hispania.
Real Ikiwa Imefunga Magoli 110 Huku Atletico Yenyewe Ikiwa Imefunga Magoli 63. Lakini Real Imekubali Nyavu Zake Kutikiswa Mara 34, Wakati Atletico Wao Wakiwa Wamefungwa Magoli 18 Peke Yake.
Je! Atletico Watalipa Kisasi Cha Kufugwa Fainali Iliyopita Na Madrid AU Wataendeleza Uteja Katika Fainali Dhidi ya Real Madrid.
Muda Ni Kitu Cha Muhimu Saa 21:45 Ndiyo Game Itaanza
0 comments:
Post a Comment